• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA LISHE KONDOA DC YAFANYA ZIARA YA KIUTENDAJI

Posted on: January 22nd, 2026

Kamati ya Lishe ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa imefanya ziara ya kiutendaji yenye lengo la kufuatilia shughuli za lishe Wilayani Kondoa.

Akiongoza Ziara hiyo, Mwenyekiti wa Kamati ya Lishe Wilaya kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Ndg. Peter Ngumuo ameambatana na Wajumbe 10 wa kamati hiyo kutembelea Kata ya Soera ikiwa ni pamoja na Vijiji vya Bukulu, Soera, Humai na kwa Dinu.

Kamati hiyo imepitia Afua za Lishe ikiwemo mashamba na bustani mahususi ya lishe Shuleni, ripoti ya uimarishaji wa lishe bora katika vituo vya afya, pamoja na mashine za vinyunyizi vya virutubisho Wilayani hapo.

Akizungumza wakati wa Ziara hiyo, Afisa Lishe Wilaya Ndg. Khamis Faki amesema kuwa Afua za lishe Wilayani hapo zinaendelea vizuri kutokana na makadirio ya Wanafunzi wanaopata lishe bora shuleni.

Aidha, Ndg. Faki, ametoa rai kwa waalimu kuhifadhi nafaka juu ya chanja ikiwa hiyo ni njia salama sanjari na matumizi ya chumvi zenye madini joto ( iodine) ili kuepuka magonjwa ya rovu na mengineyo.

Kwa upande wake Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Bukulu Bi.Jerida Josephat, amebainisha namna ambavyo kituo chake kinawahudumia wananchi  kwa kutoa elimu juu ya masuala ya lishe bora.

" pamoja na kutoa elimu ya lishe bora, tunatoa dawa za minyoo na matone ya Vitamini A kutokana na umri husika"

"Kwa mwezi wa Disemba tumehudumia Watoto wenye mashauri ya utapiamlo ambapo Watoto 587 wenye umri kati ya miezi 6-11(199) na wale wenye miezi 12-59 (388) na kuvuka makadirio katika muda husika"  aliongeza Bi Jerida


Pamoja na mambo mengine Mwenyekiti wa kamati hiyo Ndg. Ngumuo amewaasa Wananchi kujitoa na kuchangia huduma za chakula shuleni ili kuongeza ufaulu kwa Watoto wao.

Matangazo

  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGARI October 16, 2025
  • MATOKEO KIDATO CHA SITA July 07, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE KONDOA DC YAFANYA ZIARA YA KIUTENDAJI

    January 22, 2026
  • MKURUGENZI MILLAO ASISITIZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KONDOA DC

    January 20, 2026
  • DC NYANGASA AHIMIZA UJENZI WA TIMU YENYE TIJA BARAZA JIPYA LA MADIWANI KONDOA DC

    December 05, 2025
  • KAMATI YA UFUATILIAJI WA MIRADI KDC YAWEKA MKAZO UKAMILISHWAJI MIRADI

    December 04, 2025
  • Fungua zaidi

Video

Umeme kufika Kituo cha Afya Mauno-Kondoa:-Mkuu wa Mkoa Dodoma
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.