Mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa 6 , matundu 10 ya vyoo pia ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarsa mawili katika shule ya msingi Kwadelo umekamilika kwa asilimia 95 kilicho baki ni ukamilishaji wa madawati.Mradi huu umegharimu kiasi cha shilingi milioni 141,000,000.00 kutoka serikali kuu (P4R).
KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE
Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa
Simu : 0262360313
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.