• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

ZIARA YA MKUU WA MKOA WILAYANI KONDOA

Posted on: January 29th, 2022

Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mh.Antony Mtaka akiwa na jopo la wataalam  mbali mbali kutoka mkoani,  jana alitembelea halmashauri ya wilaya ya Kondoa yaliko makao makuu ya halmashauri katika kijiji cha Bukulu kilichoko kwenye kata ya Soera .Katika msafara huo mkuu wa mkoa aliambatana na katibu tawala mkoa Dr. Fatuma  Mganga pia na timu ya  wataalam mbalimbali kutoka mkoani hii ikiwa ni miongoni mwa ziara zake za kukagua shughuli za maendeleo pia kukagua miradi mbali mbali inayotekelezwa na Serikali  pia kwa upande wa halmashauri Mh mkuu wa wilaya Dr Mkanachi akiwa na kamati ya ulinzi na usalama aliongoza timu ya wakuu waidara na vitengo katika mapokezi hayo.Katika ziara hiyo mkuu wa mkoa alipokea taarifa ya ujenzi wa  hospital hiyo ambapo ujenzi huo uko katika hatua mbalimbali kama ilivyo somwa na afisa mipango wa wilaya ikiwa nia pamoja na majengo ya maabara na POD yako katiaka hatua za umaliziaji sawa na silimia 98 pia jengo la mionzi na jengo litakalotumika kwa shughuli za kufua yako katika hatua ya kupiga plasta sawa na asilimia 60 na majengo ya utawala na pharmacy yenyewe yako kwenye hatua ya kufunga renta sawa na asilimia 50 na la mwisho ni jengo la mama na mtoto ambalo ujenzi wake uko katika hatua za awali kutoka kwenye msingi.

    Baada ya kupokea taarifa hiyo Mh mkuu wa mkoa aliagiza shughuli zilizobaki katika kumalizia ujenzi huo zitafanyika kwa ushirikiano na wataalam kutoka katika ofisi ya mkuu wa mkoa  ambapo Eng.Mgalula na Bi Aziza Mumba walikabidhiwa kazi  hiyo ya kusimamia ujenzi wakishirikiana na timu ya usimamizi  ya halmashauri ili kazi hii ikamilike katika mda ambao utawekwa baada ya kikao cha pamoja ambacho kitafanyika siku ya jumanne ya tarehe 1/02/2022.

Katika ziara hiyo pia mkuu wa mkoa alipata nafasi ya kuongea na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bukulu ambapo alipata taarifa ya matokeo ya kidato cha nne na kuagiza kua juhudi za ziada zinatakiwa katika kuhakikisha tunainua kiwango cha ufaulu siyo kwa shule hii tuu bali kwa wilaya nzima nakuagiza kua eneo la shule pamoja na eneo la hospitali yatengwe maeneo kwa ajili ya  upandaji wa miti ya matunda na kuweka msisitizo katika jambo hili.

Nakatika hatua nyingine mkuu wa mkoa alipata fursa ya kukata utepe kuashiria ufunguzi wa kisima cha maji ambacho kimechimbwa kwenye eneo la hospital kwa  ufadhili wa watu wa Uturuki chenye thamani ya fedha za kitanzania takribani milioni 34.

                                                                               Katika picha ni mkuu wa mkoa akikata utepe kuashiria ufunguzi wa kisima cha maji kilichochimbwa kwa ufadhili wa kutoka nchini Uturuki.

Matangazo

  • MATOKEO KIDATO CHA SITA July 07, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE KONDOA DC YAFANYA ZIARA KATA YA BUMBUTA

    August 22, 2025
  • KONDOA DC YAADHIMISHA JUMA LA ELIMU YA WATU WAZIMA KWA KISHINDO

    August 21, 2025
  • NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI AKAGUA UTEKELEZAJI WA KAMPENI YA CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO KONDOA DC

    July 22, 2025
  • WATUMISHI KONDOA DC WANOLEWA MFUMO WA E-UTENDAJI

    July 12, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.