• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WITO DHIDI YA HAMASA YA ULAJI MLO KAMILI KWA JAMII WATOLEWA KONDOA DC

Posted on: July 1st, 2025

Agizo kwa Wataalam ngazi ya Kata limetolewa dhidi ya Uhamasishaji kwa jamii juu Uzingatiaji wa Mlo Kamili.

Hayo yamebainishwa mapema Juni 28, katika kikao cha tathmini ya utekelezaji wa lishe kilichowakutanisha Maafisa Watendaji wa Kata na wataalam wa lishe ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa pamoja na Uongozi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kondoa.

Akiongoza Kikao hicho kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Kondoa, Katibu Tawala Bi.Christina Kalekezi amehimiza wazazi kuchangia chakula  mashuleni kwa ajili ya kuongeza usikuvu darasani, Kupunguza Utoro, Utengenezaji wa  afya ya wanafunzi.

"Suala la lishe ni suala endelevu na linabeba hatma ya Taifa letu, jamii inapaswa kuhamasishwa kuchangia chakula  mashuleni, tutumie fursa hii kutoa elimu kupitia mikutano mbalimbali pamoja na kupita nyumba kwa nyumba."alisema Bi.Kalekezi.

Bi.Kalekezi amewaagiza wakuu wa shule za Msingi na Sekondari kuwajibika katika usimamizi wa kusaga chakula (mahindi) katika viwanda vilivyofungwa mashine ya virutubisho vilivyopo karibu na kata zao ambapo kati ya kata 21 kata 8 zimenufaika na ufungwaji wa mashine za kurutubisha unga pamoja na kuwataka watendaji wa kata kuhakikisha kuwa  wanaripoti kwa wakati taarifa za lishe.

Kikao hiki ni maalum kwa ajili ya kupokea na Kujadili taarifa ya utekelezaji wa afua za lishe kwa kipindi cha robo ya tatu (Januari-Machi) ambapo jumla ya Tzs 26,068,722/= zilitengwa kutekeleza shughuli za lishe.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • ZAIDI YA WATU 14,000 KUNUFAIKA NA MRADI MKUBWA WA MAJI KWADELO

    July 01, 2025
  • WITO DHIDI YA HAMASA YA ULAJI MLO KAMILI KWA JAMII WATOLEWA KONDOA DC

    July 01, 2025
  • ELIMU YA BAJETI YA MLENGO WA KIJINSIA KUINUFAISHA KONDOA

    June 26, 2025
  • STAKABADHI GHALANI MUAROBAINI ENDELEVU KWA WAKULIMA WILAYA YA KONDOA

    June 25, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.