• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAZIRI BASHUNGWA AITEMBELEA KONDOA

Posted on: December 3rd, 2023

DARAJA LA MTO BUBU KUJENGWA NA SERIKALI YA SAMIA

Waziri wa Ujenzi Mh.Innocent Bashungwa (Mb) amefanya ziara yake Wilayani Kondoa tarehe 03/12/2023 kwaajili ya kukagua Miundombinu ya Barabara na Madaraja na kupokelewa Ofisi ya CCM Wilaya na wenyeji wake wakiwemo Wabunge wa Jimbo la Kondoa na Kondoa Mji Mh Dkt Ashatu Kijaji,Mh.Ally Makoa pamoja na Viongozi wa Chama na Serikali ngazi ya Wilaya .

Mh.Bashungwa ametembelea lilipokuwa Daraja la Mto Bubu linalounganisha Wilaya ya Kondoa na Mkoa wa Manyara kupitia Wilaya ya Hanang (Kateshi) na kujionea Athari za Mvua zinavyochangia kudumaza Uchumi wa mikoa yote miwili zilizosababisha kukatika kwa Daraja hilo na kuwalazimu Wasafiri wapitapo njia hiyo kusubiri maji ya mvua kupungua ili waweze kuvuka kwenda upande wa pili nyakati za Msimu wa Mvua .

Kwa niaba ya Madiwani Diwani wa kata ya Serya(Mji) ambaye kata yake iko karibu na barabara inayovuka mto huo amesema usalama umekua mdogo inapofika kipindi cha mvua kwa kuchangia kushuka kwa Uchumi akitolea mifano ya kukwama kwa Vyombo vya Usafirishaji Abiria na Mizigo na kufa kwa Mama mjamzito alie jifungulia njiani

Kwa upande wa Wabunge wote wawili Mh.Dkt Ashatu Kijaji (Waziri wa Viwanda na Biashara pamoja na Mh.Ally Makoa wamemwelezea Mh.Bashungwa athari za Kiuchumi  zikiwemo ufifishwaji wa shughuli za kitalii Hifadhi ya Swagaswaga ,Ujenzi wa Bomba la Mafuta , Usafirishaji wa Mazao ya Biashara na pamoja ucheleweshaji wa Wananchi kufikia huduma za  Afya Hospitali ya Mji .

Akihitimisha ziara yake Mh.Bashungwa katika Daraja la Mto Bubu amesema amepokea maelekezo kutoka kwa Raisi Dkt Samia Suluhu juu ya Ufanyaji Usanifu wa Ujenzi wa Daraja hilo baada ya Wizara hiyo kutengewa fedha za Upembuzi yakinifu  pindi litakapojengwa na kuwaahidi Wananchi wa Wilaya ya Kondoa daraja hilo kuingizwa kwenye Bajeti zinazoendelea baada ya kupatikana fedha za usanifu katika bajeti ya 2023/2024.

Vivyohivyo Mh.Bashungwa akatumia fursa hiyo kupongeza jitihada za Wabunge hao kuwapambania Wananchi wa Wilaya ya Kondoa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia kuwaletea Miradi mbalimbali ya Maendeleo.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 12, 2025
  • RC SENYAMULE AFANYA ZIARA KONDOA DC

    May 13, 2025
  • ELIMU YA UZUIAJI UPOTEVU WA NAFAKA KUWA SULUHISHO LA USALAMA WA CHAKULA KONDOA DC

    May 11, 2025
  • WANANCHI KIJIJI CHA ITUNDWI WAADHIMISHA KWA VITENDO SIKU YA AFYA NA LISHE

    May 07, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.