• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

VIONGOZI WA ELIMU NA WAKUU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI KONDOA DC WANOLEWA KUHUSU MFUMO WA UTHIBITI UBORA WA SHULE KIDIGITALI

Posted on: May 14th, 2025

Jumla ya Wataalam 306 wa elimu ikihusisha Viongozi wa Elimu Ngazi ya Halmashauri ambao ni Wathibiti Ubora wa Shule, Maafisa Elimu Kata, Wenyeviti Udhibiti Ubora wa shule pamoja na Wakuu wa Shule za Msingi na Sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa wameshiriki mafunzo ya mfumo wa kidijitali wa Uthibiti Ubora wa Shule.

Mafunzo hayo yamefanyika mapema Mei 8 na 9 katika Ukumbi wa Mikutano Kondoa Irangi uliopo Kondoa Mjini yakilenga kuwajengea uwezo Wataalam hao namna ya kufanya tathimi ya ubora wa taaluma, mazingira ya shule, ushirikishwaji wa jamii, Usimamizi wa Shule, Mitaala, Utamaduni na Maadili.

Akifunga mafunzo hayo Ndg. Moshi Samaitu ambaye ni Mthibiti Mkuu wa Ubora wa Shule Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, amewataka wataalam hao kufanya mrejesho ngazi ya shule ili kila mwalimu aelewe matumizi ya Mfumo wa kidijitali wa Uthibiti Ubora wa Shule, Uundwaji wa kundi sogozi (WhatsApp Group) katika kujengeana uwezo dhidi ya mfumo na kuimarisha timu za Uthibiti Ubora wa ndani.

Akizungumza kwa niaba ya wataalam hao Ndg.Fadhili Mwijaku ambaye ni Afisa Elimu Kata ya Kikore amewashukuru waandaaji wa mafunzo hayo, amesema yatarahisisha kuwapunguzia gharama ya kwenda katika Ofisi za Uthibiti Ubora na kwa sasa mambo yote yanaishia kwenye mfumo.

Wepesi wa mafunzo hayo umerahisishwa na uwepo wa matumizi ya vifaa vya usaidizi katika kufanikisha mafunzo kwa wataalam hao yakifanyika kwa kutumia Vishikwambi na Routers ambavyo vimetolewa na Serikali ya Awamu ya Sita katika shule zote za Umma ili kurahisisha Shughuli za wataalam hao.

Umuhimu wa Mafunzo haya unalenga kusaidia usimamizi wa shule kuanzia ngazi ya shule hadi taifa itakayosaidia mifumo kusomana, Uokoaji wa muda katika utoaji wa taarifa, Uokoaji wa gharama pamoja na Utumikaji wa teknolojia katika utoaji wa elimu bora.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • VIONGOZI WA ELIMU NA WAKUU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI KONDOA DC WANOLEWA KUHUSU MFUMO WA UTHIBITI UBORA WA SHULE KIDIGITALI

    May 14, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA SOERA

    May 13, 2025
  • DED MILLAO AHIMIZA USIMAMIZI MPANGO WA UTUNZAJI MAZINGIRA KONDOA DC

    May 12, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KONDOA AFANYA ZIARA KIJIJI CHA KWAYONDU

    May 11, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.