• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

VIONGOZI NA WATAALAM WA ELIMU WABARIKI MKAKATI WA ELIMU MKOA WA DODOMA 2024

Posted on: December 9th, 2023

Viongozi na Wataalam wa Elimu Mkoa wa Dodoma wamepitisha Rasimu ya Mkakati wa Elimu Mkoa wa Dodoma 2024 Baada ya kutamatika kwa Kikao Kazi Maalum kilichowakutanisha Wataalam wa Elimu na Viongozi wa Mkoa kwa Muda wa siku 4 Ukumbi wa Mikutano Chuo cha Ualimu Bustani Wilayani Kondoa sik ya tarehe 08/12/2023.

Kikao Kazi hicho Maalum kimefungwa na Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh,Rosemary Senyamule baada ya kupokea Taarifa ya kilichojadiliwa kwa kipindi chote na kikao kazi hicho na kufanya Tathmini ya pamoja ya Maendeleo ya Elimu ,Kuruhusu Majadiliano ya pamoja na kisha kupitisha Rasimu ya Mkakati wa Elimu Mkoa wa Dodoma.

Mh.Senyamule ametumia nafasi hiyo kumshukuru Rais Dkt Samia Sulhu Hassan kwa kazi  kubwa anayoifanya kwa kuwaletea maendeleo watanzania  kwenye Sekta ya Elimu kwa Mkoa wa Dodoma kwa  kipindi cha  mwaka 2022/2023 na 2023/2024 hadi kufikia sasa Dodoma imepokea Sh Bil 73 Mil 522 na Elfu 30 kwa ajili ya ukamilishaji wa Mindombinu ya Madarasa,Nyumba za walimu,Matundu ya vyoo ,Mabweni katika makundi yote mawili (wenye mahitaji maalum na kawaida),Majengo ya Utawala,Mabwalo,Uzio wa Mabweni ya Watoto wenye Mahitaji Maalum Maabara ,Vituo vya TRC.

‘’Kuepo kwa Miundo mbinu hii imesaidia kwa kiasi kikubwa kupungza Wanafunzi kutembea Umbali mrefu kufuata Huduma ya Elimu , Msongamano wa Wanafunzi Madarasani,Utoro, Uwepo wa Mazingira Salama na Rafiki kwa Wanafunzi na sote ni Mashahidi  kuwa  Rais ni  Mahiri na Amefanya haya kwa dhamira yake  thabiti katika Uongozi wa Serikali ya Awamu ya 6.’’amesema Mh Senyamule.

Mh Senyamle amepongeza kufanyika kwa kikao hicho kwa kuja na Ubunifu wa zaidi ili kuenda na kasi zaidi ili Ubora wa Elimu uaendane na hadhi ya Mkoa wa Dodoma kuwa Makao Makuu ya Serikali na Chama.

Vivyo hivyo kwa upande wa Wakuu wa Wilaya, Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma na Wenyeviti wa Halmashauri za  Mkoa wa Dodoma wamepongeza kuandaliwa kwa Mkakati huo wa Elimu Mkoa wa Dodoma na kuamini ukitumika vyema utaongeza kasi ya Ufaulu kwa wanafunzi na kuahidi kuanza kuufanyia kazi katika Manispaa na Halmashauri zao kwa kuwafanya wazazi wajue umuhimu wa Elimu.

Awali akiwasilisha taarifa yake kwa Mgeni Rasmi Katibu Tawala Msaidizi Seksheni ya Elimu Mkoa wa Dodoma Mw,Vicent Kayombo amesema Tathmini ya Maendeleo ya Elimu Mkoa wa Dodoma Imefanyika,Kuwajengea uwezo Wataalam wa Elimu ngazi ya Mkoa na Halmashauri,na Rasimu ya Mpango  Mkakati wa Elimu wa Mkoa wa Mwaka 2024 pamoja na kupata Uelewa wa pamoja katika Utekelezaji wa Majukumu ya Serikali katika Elimu.

Mada mbalimbali kama  Uongozi na Usimamizi wa Shughuli za Elimu ,Mkakati wa Urejeshaji Wanafunzi Shuleni,Usimamizi wa Miradi ya Shule ,Tathmini ya Maendeleo ya Elimu,Rasimu ya Mkakati wa Elimu Mkoa wa Dodoma ,Hali ya Utamaduni na Michezo katika Mkoa ,Uandaaji wa Taarifa na Usahihi wa Takwimu kwa Maendeleo ya Taaluma Mkoani.Taarifa na chanzo chetu www.kondoadc.go.tz

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.