• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

UWAJIBIKAJI, UTU, UZALENDO NA UMOJA VYATILIWA MKAZO KONDOA DC

Posted on: May 22nd, 2024

Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kupitia Kikao cha Baraza la Madiwani Robo ya Tatu mapema tarehe 22/05/2024 imepokea,kujadili na kutoa maelekezo ya taarifa mbalimbali za kamati za kudumu za HalmashauriyaWilaya ya Kondoa.

Katika kikao hicho suala la Uwajibikaji, Umoja, Utu na Uzalendo vimetiliwa mkazo kwa Waheshimiwa Madiwani, Wakuu wa Idara na Vitengo, Watumishi pamoja na Wananchi kwa kuvifanyia kazi kwa maslahi ya maendeleo ya Halmashauri na Taifa kwa ujumla.

Kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Kondoa, Katibu Tawala Wilaya Bi.Christina Kalekezi amesema "kuna kila sababu za kuimarisha mahusiano mazuri baina ya Viongozi,Watumishi na Wananchi ili kuongeza kasi ya kukua kwa shughuli za kimaendeleo katika halmashauri zitakazochangia kuongeza pato la halmashauri.

Bi kalekezi amehimiza bidiii ya pamoja inahitajika katika ukusanyaji wa Mapato, uimarishaji wa udhibiti wa mianya ya upotevu wa mapato na ubunifu wa vyanzo vipya vya ukusanyaji mapato kuendelea.

Kwa Upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Ndg.Shaban Millao amesema kwa niaba ya watumishi ameshukuru Michango ya Waheshimiwa Madiwani kwa kuongeza tija katika utekelezaji wa majukumu ya kila siku,akiongeza msimamo wa halmashauri katika utatuzi wa kero mbalimbali za wananchi katika ngazi zote kupitia uwekaji namba za watumishi viongozi katika mbao za matangazo na milangoni wakizingatia kauli mbiu isemayo "KERO YAKO WAJIBU WANGU ".

Akihitimisha kikao hicho Mwenyekiti wa Kikao ,Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri Mh.Salum Mabote amesema wamepokea maelekezo na ushauri uliotolewa na Baraza la Madiwani na kuahidi kuyafanyia kazi kwa lugha moja.

Kikao hicho ni cha Robo ya Tatu kwa mwaka wa fedha 2023/2024 ambapo Baraza la Madiwani limepokea na kujadili taarifa za utekelezaji kazi kutoka katika kamati za kudumu za halmashauri ikizijumuisha Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira, Kamati ya Elimu Afya na Maji,Kamati ya Kudhibiti Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi pamoja Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.