• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

TIMU YA WARAGHBISHI WILAYA KONDOA NA CHEMBA WATIA NANGA SEKONDARI YA NTOMOKO

Posted on: March 11th, 2025

Timu ya Waraghbishi Wilaya ya Kondoa na Chemba kwa kushirikiana na Mtandao wa Kijinsia Nchini(TGNP)&The Aghakan Foundation chini ya Ufadhili wa Ubalozi wa Ireland Nchini wameadhimisha Wiki ya Wanawake katika Shule ya Sekondari Ntomoko kata ya Haubi Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa.

Akiongoza Ujumbe huo Afisa Maendeleo ya Jamii Halmashauri Bi.Elizebert Shoo amesema ujumbe huo umelenga kuadhimisha wiki ya wanawake wakishiriki kutoa elimu juu ya masuala Wanawake,Wasichana na Jamii pamoja na Upandaji miti 1000 katika Shule ya Msingi na Sekondari Ntomoko kwa kujumuika na baadhi ya wananchi na wanafunzi shuleni hapo.

"Katika Maadhimisho haya tumekua na shughuli mbalimbali ikiwemo utoaji elimu kupitia redio na kuifikia jamii yetu tukigusia haki na wajibu kwa wanawake,wasichana na jamii kwa ujumla katika kuikomboa jamii na kuleta maendeleo endelevu".amesema Bi.Shoo.

Bi.Shoo amesema katika mwendelezo wa wiki ya wanawake kwa siku ya tarehe 04/03/2025 kutakua na kliniki ya msaada kisheria kata ya Kwadelo kwa kutoa elimu na kusikiliza changamoto mbalimbali kwa kushirikiana na Taasisi ya JUST PARALEGALS na kuhitimisha kiwilaya tarehe 06/03/2025 kata ya Bereko kwa kufanya matendo ya huruma kwa Mwanamke Mjane na watoto wenye ulemavu anaowalea kwa kumpa mtaji anzia,ufanyaji Bonanza pamoja na utoaji wa elimu kwa jamii katika siku hiyo.

Naye Bw.Rubengo ambaye ni Msimamizi wa Mradi wa "Pamoja Tuinuke "unaosimamiwa na Taasisi ya The Aghakan Foundation &Mtandao wa Kijinsia Nchini (TGNP)chini ya ufadhili wa Ubalozi wa Ireland Nchini amesema kupitia elimu walioitoa kwa wanafunzi hao utakwenda kuleta mwelekeo chanya kwa ustawi wa jamii utakaobadilisha dhana potofu ili kuwepo na usawa.

Maadhimisho hayo kitaifa yanatarajiwa kufanyika Mkoani Arusha siku ya tarehe 08/03/2025 Mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Rais Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan yakibebwa na kauli mbiu isemayo: Wanawake na Wasichana 2025 tuimarishe haki,usawa na uwezeshaji.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.