• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

TANI 20 ZA CHOKAA YA KILIMO KUNUFAISHA WAKULIMA KONDOA DC

Posted on: August 19th, 2024

Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kwa kushirikiana na Shirika lisilo la kiserikali ONE ACRE FUND  imekabidhi jumla ya Tani 20 za Chokaa ya Kilimo kwa Wakulima 66 kutoka katika Kata za Soera, Salanka, Kikilo na Bereko.

Hii ni baada ya baadhi ya Wakulima wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kupimiwa Sehemu ya Udongo wa mashamba yao kwa lengo la utambuzi wa mazao yapi yanafaa kulimwa katika mashamba yao kupitia kifaa maalum cha kupimia Afya ya Udongo.

Akieleza kwa niaba ya Shirika hilo Bw.Salehe Joram alipomtembelea Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya Kondoa Ndg.Shaban Millao ofisini kwake Bukulu, amesema lengo la kukabidhi Chokaa ya Kilimo kwa wakulima hao ni kuongeza thamani ya Udongo ili kuchochea kilimo chenye tija kwa Mkulima mdogo.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Ndg.Shaban Millao amesema jitihada za Serikali ya awamu ya sita zimechangia kiasi kikubwa kumsaidia mkulima wa Kondoa, baada ya halmashauri kupokea vifaa maalum vya kupimia afya ya udongo lengo likiwa ni kumsaidia Mkulima kutambua ni mazao yapi sahihi kwa shamba husika.

Awali akitoa tathmini ya taarifa ya afya ya udongo kupitia sampuli za udongo zilizopimwa kwa kutumia na vifaa hivyo baada ya kuanza kutumika, Mkuu wa Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Bw.Juvenal Munishi amesema jumla ya sampuli 407 kati ya 820 ziligundulika kuwa na tindikali kwa kiasi kikubwa (Soil Ph) inayochangia mimea kutokukua vyema kwa maana ya kukosa virutubishi muhimu kwa ukuaji wa mimea mashambani.

Pia kwa upande wa wakulima toka kata nufaika za Soera, Salanka, Kikilo na Bereko wameshukuru jitihada zat Serikali kwa kushirikiana na mdau huyo wakiahidi kuitumia Chokaa hiyo kwa matumizi lengwa  ili kuongeza tija kwenye kilimo cha kisasa.

 Chokaa ya kilimo ni mchanganyiko wa madini na virutubisho vinavyosaidia ukuaji wa mimea na urekebishaji wa rutuba ya Udongo.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.