• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

RC SENYAMULE ATOA MAAGIZO MAZITO HALMASHAURI ZA MKOA WA DODOMA TAMASHA LA JINSIA NGAZI YA WILAYA

Posted on: August 28th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule amezitaka Serikali za Mitaa na Halmashauri za Mkoa wa Dodoma kuendelea kutoa elimu kwa wananchi, kupata taarifa mbalimbali za msingi na za muhimu kwa mambo yanayoendelea ya Serikali yao.

Mhe.Senyamule ameyasema hayo akizindua Tamasha  la 7 la Jinsia ngazi ya Wilaya lililoandaliwa na Mtandao wa Kijinsia Nchini (TGNP) pamoja na Washirika wanaotetea Haki za Wanawake nchini viwanja vya sabasaba wilayani Kondoa.

Mhe.Senyamule amesema"Wanaofuatilia habari za Serikali ni wachache, tunayo kazi kubwa kupitia Serikali za Mitaa, Halmashauri kuendelea kutoa elimu na hamasa  ya kutosha kwa wananchi wetu, kupata taarifa za msingi na muhimu juu ya mambo yanayoendelea kwenye nchi yao."

"Dira hii ni jumuishi tumepata fursa na bahati ya kuchangia kwa ajili ya vizazi vijavyo, tuwapangie mambo ya muhimu ambayo hata wao wakija kuyakuta na kuyasoma wajivunie na niendelee kuwaomba wadau wetu TGNP na wadau wengine mlioshirikiana nao muendelee kutoa elimu hizi katika ngazi za chini na kushirikiana na maafisa maendeleo ya jamii ameongeza Mhe.Senyamule.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Bi.Lilian Liundi amesema nchi ya Tanzania imepiga hatua katika masuala ya usawa wa kijinsia ambapo kwa sasa wanawake wanashika nafasi za uongozi akimtolea mfano Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, Spika wa Bunge Mhe.Dkt Tulia Akson, Wabunge wa kike wa kuchaguliwa na kuteuliwa wanaofikia asilimia 37% pamoja na uwepo wa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mwanamke Mhe.Rosemary Senyamule na Mkuu wa Wilaya ya Kondoa mwanamke Mhe.Fatma Nyangassa wakiwa ni miongoni mwa Viongozi wanawake wachache nchini.

Tamasha hili ni la Saba nchini lililoandaliwa na Mtandao wa Kijinsia Nchini (TGNP)lilitanguliwa na matamasha mengine yaliyofanyika katika wilaya zingine, ikiwemo Kisarawe(2010), Kata ya Mkambarani -Morogoro (2011na 2016), Kata ya Nyamaranda-Tarime (2014), Mkoa wa Shinyanga Wilaya ya Kishapu (2018)na Mkoa wa Mbeya Kata ya Ijumbe (2020).

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.