• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

RAS DODOMA AZUNGUMZA NA WATUMISHI HALMASHAURI YA WILAYA YA KONDOA

Posted on: September 16th, 2025

Katibu Tawala wa Mkoa Dodoma, Dkt.Khatibu Malimi Kazungu amewaasa Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kuendelea kufanya kazi kwa bidii kwa kuwahudumia wananchi sanjari na utatuzi wa kero.

Ameyasema hayo mapema Septemba 16,2025 katika ziara yake Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa akibainisha msimamo wa Serikali ikijikita kusimamia ustawi chanya wa watumishi wake  kwa kusimamia haki zao.

Dkt. Kazungu amesema  Sekta ya Utumishi wa Umma ni muhimu katika kukuza maendeleo ya kiuchumi na kijamii akiwataka watumishi hao kujenga tabia ya ushirikiano, maelewano na upendo baina yao.

" Nchi ya Tanzania inaongozwa na Dira ya Maendeleo 2050 niwasisitize watumishi wote kufanya kazi kwa juhudi ili kuendana na kasi ya Serikali katika utendaji wake tukiyafikia malengo yaliyowekwa katika Dira hiyo" alielekeza Dkt.Kazungu.

Aidha amewaasa watumishi hao kujitokeza na kushiriki zoezi la uchaguzi litakalofanyika Oktoba 29,2025.

Awali akiwasilisha taarifa ya kiutendaji wa Halmashauri, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmshauri ya Wilaya ya Kondoa Ndg. Shaban Millao ametumia nafasi hiyo kumpongeza Katibu huyo kwa kuaminiwa na Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan akimteua kuuhudumia Mkoa wa Dodoma kwa nafasi ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma.

 Ziara hii muendelezo wa ziara za kimkakati na kiutendaji zinazofanywa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Khatibu Malimi Kazungu katika Halmashauri za Mkoa wa Dodoma

Matangazo

  • MATOKEO KIDATO CHA SITA July 07, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • DC NYANGASA ATAKA KASI KUONGEZEKA MIRADI YA KONDOA DC

    September 17, 2025
  • VIONGOZI WILAYA YA KONDOA WAMTEMBELEA MTOTO ALIYEUNGUA MOTO

    September 17, 2025
  • RAS DODOMA AZUNGUMZA NA WATUMISHI HALMASHAURI YA WILAYA YA KONDOA

    September 16, 2025
  • CRESD KUWANUFAISHA WAKULIMA VIJANA WA ZAO LA ALIZETI-KONDOA DC

    September 15, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.