• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

RAS Akagua utekelezaji wa EQUIP-T

Posted on: April 10th, 2018

Katibu tawala wa mkoa wa Dodoma mhe.Rehema Madenge akifungua kikao kazi kinachohusu utekelezaji wa wa mpango wa EQUIP-T ,kikao ambacho kinafanyika wilayani kondoa katika ukumbi wa kondoa Irangi  kuanzia tarehe ya leo kitadumu kwa siku mbili . Kikao hiki kimehudhuriwa na wataalam mbali mbali kutoka halmashauri zote za mkoa wa dodoma wahusika wakuu wa kikao kazi hiki ni wakurugenzi toka halmashauri zote,waweka hazina,maafisa mipango,maafisa elimu msingi ,wadhibiti ubora ,maaafisa taaluma,wenyeviti wa halmashauri,afisa elimu mkoa n.k.Katika picha aliesimama ni katibu tawala mkoa akifungua kikao kazi hicho ambacho kitahusisha wataalam hao kwenda katika shule mbali mbali kujionea hali halisi ya utekelezaji wa mpanggo huo ambao unatekelezwa na halmashauri zote mkoani dodoma tangu mwaka 2014 lengo kuu la mpango huu ni kuinua ubora wa elimu Tanzania.

  Miongoni mwa mambo ambayo yataangaliwa ni pamoja na mafunzo ya Ualim ngazi ya shule (INSERT),Wazo la biashara , shughul au  mradi wa kuingizia kipato shule,matumizi ya vishkwambe(Tablets) katika uingizaji wa tarifa za shule kwenye vishkwambe,Uanzishwaji wa klabu za JUU za wanafunzi mashuleni na mpango wa maendeleo ya Shule (MMS).

Katika ufunguzi wa kikao kazi hicho mhe.mgeni rasmi alisema equip-T ilianzishwa ikiwa na malengo makuu manne

1.Kumwezesha mwalimu darasani kupata mafunzo ya KKK tatu,

2.Kuimarisha usimamizi na uongozi wa shule,

3.Kuimarisha uongozi wa elimu Mkoa na Wilaya,

4.Kuimarisha ushiriki wa jamii katika maendeleo ya elimu mashuleni,

5.kukusanya ,kutunza takwimu kupitia vishkwambe(SIS)school information system.

Miongoni mwa kata zilizo tembelewa katika ukaguzi huo ni pamoja na kata ya kolo , kondoa  mjini ,pahi ,mnenia ,salanka na bereko.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.