• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KONDOA AFUNGUA SEMINA ELEKEZI KWA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI

Posted on: October 1st, 2024

Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Ndg.Shaban Millao amefungua Semina elekezi ya siku moja kwa Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya kata na vijiji Ukumbi wa Mikutano Kondoa Irangi Kondoa Mjini.

Ndg.Millao ametumia nafasi hiyo kuwasisitiza wasimamizi hao kuweka umakini katika mafunzo hayo ili iwarahisishie katika utekelezaji wa majukumu ya usimamizi wa uchaguzi kwa kufuata kanuni na miongozo iliyowekwa kwa ajili ya kuendesha uchaguzi huo.

"Zingatieni Mafunzo haya yanayotolewa na wawezeshaji, mkizingatia kanuni na miongozo ya Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa pale ambapo hujaelewa vyema uliza maswali upate majibu sahihi".

Sambamba na hilo Ndg.Millao amewasisitiza wasimimizi hao kuendelea kutoa elimu ya kutosha kwa wananchi kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa bila kuchoka,wakiwahamasisha wananchi wenye sifa za kuwa viongozi kuchukua fomu za kugombea wakidhaminiwa na vyama vyao.

Vivyo hivyo Ndg.Millao amehimiza wanawake na watu wenye ulemavu kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kupiga kura wakitimiza sifa elekezi.

Pia katika semina hiyo Ndg.Millao amepongeza jitihada za wasimamizi hao  katika kuandaa mabonanza,wakihamasisha wananchi kujiandikisha na kupiga kura kupitia elimu ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na michezo mbalimbali ikiwemo ngoma za asili,mpira wa miguu n.k.

Semina  hiyo imelenga kuwajengea uwezo wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya kata na vijiji ili kuhakikisha zoezi la uandikishaji na upigaji wa kura unakwenda vizuri kwa kufuata kanuni na miongozo iliyowekwa kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

Miongoni mwa matukio muhimu yajayo katika kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 ni pamoja na zoezi la uandikishaji nchini litakaloanza Oktoba 11 hadi 20 ,2024 baada ya kutangazwa mipaka ya kiutawala siku chache zilizopita.

"Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi Jitokeze kushiriki Uchaguzi".

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.