• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MRADI WA SOKO WA KIJANA ISSA SEMBIRA WAMKOSHA KIONGOZI MBIO ZA MWENGE 2024

Posted on: July 2nd, 2024

Kiongozi Mkimbiza Mwenge mwaka 2024,Ndg.Godfrey Mnzava amependezwa na Mradi wa Soko wa Kijana Issa Juma  Sembira uliopo katika kijiji cha Kisese Disa-Kata ya Kisese Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa.

Ndg.Mnzava ameyasema hayo alipomtembelea Bw.Issa akiambatana na wakimbiza mwenge kitaifa mwaka 2024,akiishukuru Serikali ya awamu ya sita kupitia Wizara ya Kazi,Ajira,Vijana na Watu wenye Ulemavu kwa kuweka utaratibu wa utoaji mkopo kwa kijana mmoja bila kujiunga kwenye kikundi.

Bw.Issa Sembira ni mnufaika wa mkopo huo kwa kupewa kiasi cha Tsh Mil 30,mwezi Oktoba 2022 zilizomsaidia kuboresha na kutanua mradi wake wa soko wenye jumla ya vibanda vya Biashara 28(Fremu),vibanda vya mabati 5,vibanda vya mbao 4,mabanda ya kuku 2 pamoja na vizimba vya zege 32.

Awali katika taarifa yake, Bw.Issa amesema mradi huo wa soko umetoa ajira kwa wafanyabiashara 61 waliokodi vibanda ukilinganisha na ajira kwa watu 10 zilizotolewa wakati Mwenge wa Uhuru ulipotembelea mwaka 2019.

Kupitia mradi huo Bw.Issa ametoa ajira kwa  vijana 10 wanaomsaidia katika Biashara zake sokoni pamoja na kuwepo kwa soko hilo umechangia ufanyikaji wa gulio kila siku ya ijumaa ukiwakutanisha zaidi ya Wafanyabiashara 300 wanaoleta bidhaa zao katika soko hilo.

Sambamba na Ugeni wa Wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2024 wakiongozwa na Ndg.Godfrey Mnzava,alijumuika na Mwenyeji wake Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe.Fatma Nyangassa &kamati ya Usalama Wilaya, Waziri wa Viwanda na Biashara &Mbunge wa Jimbo la Kondoa Mhe,Dkt Ashatu Kijaji, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Ndg.Shaban Millao,Waheshimiwa Madiwani, Watumishi wa Halmashauri pamoja na Wananchi.

Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2024, zinabeba Ujumbe usemwao 'Tunza Mazingira na Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwaUjenziwaTaifaEndelevu.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.