• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MRADI WA PROGRAMU YA STADI ZA MAISHA SHULE ZA SEKONDARI KONDOA DC WAZINDULIWA

Posted on: May 20th, 2024

Katibu Tawala Wilaya Kondoa Bi.Christina Kalekezi kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya Kondoa Mh.Dkt Khamis Mkanachi amezindua Programu ya Stadi za Maisha itakayotumika kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza katika Sekondari 27 za Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kuanzia mwaka 2025.

Katika Uzinduzi huo Bi.Kalekezi ametumia nafasi  hiyo kumpongeza Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan katika utekelezaji wa Sekta ya Elimu nchini akishirikiana na Wadau mbalimbali wa maendelea kupitia Wizara zake ikiwemo Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira ,Vijana &Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Wanawake na Makundi Maalum wakishirikiana na Shirika lisilo la kiserikali (CAMFED) kwa kuratibu na kuandaa mafunzo kwa Maafisa Elimu Kata,Wakuu wa Shule na Walimu Walezi watakaosimamia mradi wa stadi za maisha kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza.

"Sisi ndio chachu ya kujitambua kwa wanafunzi wetu,mkawe mabalozi wazuri na kusaidia kupata walimu watakaowafundisha vyema wanafunzi kuwa wazalendo,kujiamini, kuinua ufaulu wa wanafunzi kwa kupenda shule,kufuta utoro ili kupata taifa Bora la Leo na kesho" amesema Bi.Kalekezi.

Awali katika taarifa yake Mratibu wa mradi huo kutoka shirika lisilo la kiserikali (CAMFED)Mkoa wa Dodoma Bi.Clara Joseph amesema Mkoa wa Dodoma ni miongoni mwa mikoa 10 kupitia Halmashauri zake 8 ambazo zitanufaika kwa kuwajengea uwezo Maafisa Elimu Kata,Wakuu wa Shule na Walimu Walezi kwa kuwa wasimamizi wa programu ya stadi za maisha kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza kuanzia Januari 2025 shule za Sekondari lengo likiwa ni kuongeza ufaulu mashuleni,wanafunzi kupenda masomo, kupunguza Utoro na kujitambua.

Kwa niaba ya wanufaika wa Mafunzo hayo Afisa Elimu kata ya Pahi Mw.Adam Faraji amesema wamepokea maelekezo wakiadi kwenda kusimamia ipasavyo mradi huo.

Mradi huu wa Stadi za Maisha unatekelezwa katika halmashauri 76 nchini ukiwa na maono ya kuwa na Dunia ambayo kila Mtoto anaelimika,kulindwa,kuheshimiwa,Anathaminika na kukua kwa kuondokana na Wimbi la Umasikini.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 12, 2025
  • RC SENYAMULE AFANYA ZIARA KONDOA DC

    May 13, 2025
  • ELIMU YA UZUIAJI UPOTEVU WA NAFAKA KUWA SULUHISHO LA USALAMA WA CHAKULA KONDOA DC

    May 11, 2025
  • WANANCHI KIJIJI CHA ITUNDWI WAADHIMISHA KWA VITENDO SIKU YA AFYA NA LISHE

    May 07, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.