• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MRADI WA "PAMOJA TUWALISHE" WAPONGEZA UTOAJI WA CHAKULA SHULE ZA MSINGI KONDOA DC

Posted on: July 26th, 2024

Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Marekani kupitia Shirika lisilo la kiserikali la "GLOBAL COMMUNITIES" yenye Mradi wa "Pamoja tuwalishe", wametembelea na kukagua mradi wa chakula kwa wanafunzi baadhi ya Shule za Msingi nufaika Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa.

Ziara hiyo imewakutanisha Wawakilishi kutoka "Global Communities" wakiongozwa na Bwana Paul Alberghine & Bi.Celeste (Wizara ya Kilimo Marekani), Wasimamizi wa Mradi Tanzania, Mwakilishi kutoka OR-TAMISEMI Idara ya Usimamizi wa Elimu Bw.Greyson, timu ya Wataalam Mkoa wa Dodoma pamoja na Wataalam kutoka Halmashauri wakiongozwa na Afisa Elimu Awali &Msingi Mw.Eugen Shirima.

Ugeni huo kwa pamoja umeridhishwa na kasi ya utoaji wa milo kwa siku tano za masomo ikijumuisha mchango wa chakula cha wafadhili (siku 3) pamoja na chakula cha Jamii (siku 2) walipozitembelea baadhi ya shule za Msingi ambazo ni Kwadinu, Isabe na Mnenia.

Mradi wa Pamoja tuwalishe  halmashauri ya wilaya ya Kondoa unazinufaisha jumla ya shule za msingi 25 Kata za Haubi, Kwadelo, Itaswi, Thawi pamoja na Soera. Mradi huu unalenga kusaidia ongezeko la mahudhurio na kupunguza tabia ya utoro, ongezeko la muda wa masomo, ushiriki wa wazazi katika maendeleo ya elimu kwa watoto wao, kupunguza matukio ya ukatili wa watoto pamoja na kuboresha afya za watoto na kuwafanya wawe na utulivu na kuzingatia masomo wakati wa kujifunza.

Sambamba na hayo, Mradi wa Pamoja tuwalishe  unajihusisha na  Ujenzi wa Maktaba, Madarasa, Vyoo, Uchimbaji Visima pamoja na Uchangiaji wa chakula mashuleni ambao umeanza katika Halmashauri ya wilaya ya Kondoa tangu kutambulishwa kwa mradi mwezi Julai 2023.

Pia kupitia mradi huu shule nufaika zimejenga majengo ya Meko na stoo kwa nguvu za wananchi pamoja na uanzishwaji wa Bustani za Mboga mboga na matunda ambazo zimesaidia kuboresha mlo unaotolewa shuleni.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.