• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKURUGENZI MILLAO ATETA NA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA -2024

Posted on: January 11th, 2024

MKURUGENZI MILLAO ATETA NA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2024.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Ndg Shabani Millao amekutana na baadhi ya wanafunzi wa kidato cha kwanza wa mwaka wa masomo 2024 alipotembelea baadhi ya shule za sekondari ikiwemo Loo(Kata ya Kalamba ) na Ntomoko(Kata ya Haubi) kujionea maendeleo ya shule hizo na kupokea changamoto za walimu wake.

Ndg. Millao amewaasa wanafunzi hao kuzingatia ratiba za masomo wanapokuwa  shuleni na nyumbani pamoja na kuwasaidia wazazi baadhi ya kazi pindi wawapo majumbani mwao.

Akiwa katika shule hizo amewasisitiza wanafunzi hao kuwahimiza wanafunzi wenzao kuripoti shuleni bila gharama zozote maana serikali ya awamu ya 6 imegharamia Ada kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi sita.

Ndg Millao ameahidi kufikisha salamu za shukrani na pongezi kwa Mh.Rais Dkt Samia Suluhu kwa kuboresha sekta ya Elimu nchini kupitia Miradi ya shule za sekondari ikiwemo kukamilika kwa ujenzi wa shule ya sekondari Ntomoko yenye thamani ya Tsh Mil 544+ na kuanza kutoa huduma ya masomo kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza 2024 kata ya Haubi.

Ndg. Millao kwa nyakati nyingine alizungumza na walimu wa shule hizo akiwahimiza kufanya kazi kwa bidii ili kuongeza kasi ya Ufaulu na akatumia nafasi hiyo kuwapongeza walimu wa shule ya sekondari loo kwa shule yao kufikisha ufaulu wa asilimia 97.4 matokeo ya kidato cha pili mwaka 2023 pamoja na kupokea changamoto za watumishi hao.

Pia katika hatua nyingine Ndg. Millao alitembelea Zahanati ya Loo kujionea shughuli za kitabibu zinazifanyika pamoja na kupokea changamoto ya watumishi wa zahanati hiyo.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.