• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKURUGENZI KONDOA DC AFUNGUA MAFUNZO YA MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHAJI VIFAA VYA BAYOMETRIKI

Posted on: May 5th, 2025

Mkurugenzi Mtendaji  wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Ndg.Shaban Millao amefungua mafunzo ya zoezi la Uboreshaji wa Daftari la kudumu la mpiga kura awamu ya pili kwa Waandishi wasaidizi na Waendeshaji vifaa vya Bayometriki katika Ukumbi wa Chuo cha Bustani ambapo jumla ya waandishi wasaidizi na waendeshaji vifaa vya bayometriki 160 wamepata mafunzo hayo.

Akifungua mafunzo hayo  Ndg.Millao amewapongeza Maafisa Uandikishaji kwa kuteuliwa akiwataka kutumia fursa hiyo kupata elimu ya kutosha katika kutekeleza malengo ya Tume huru ya Uchaguzi.

 "Ni matumaini yangu kila mmoja atapa elimu ya kutosha itakayo muwezesha kutekeleza majukumu atakayopewa hii leo ili kufanikisha lengo lililowekwa na Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi". alismea Ndg.Millao

Kwa upande wake Afisa Uandikishaji Jimbo la Kondoa Ndg.Peter Ngumuo katika taarifa yake amesema kuna jumla ya washiriki 160 kwa upande wa waandishi wasaidizi pamoja na waendeshaji vifaa vya bayometriki katika mafunzo  ya muda wa siku moja na utekelezaji wake utafanyika katika vituo 44 kwa muda wa siku saba (7) kuanzia tarehe 16 Mei mpaka tarehe 22 Mei 2025.

Akihitimisha mafunzo hayo Afisa Uandikishaji Jimbo la Kondoa Ndg.Ngumuo amewasihi waandikishaji wasaidizi na waendeshaji vifaa vya bayometriki kuzingatia kanuni na taratibu za utendaji kazi, kuepuka tabia ambazo zinaweza kuathiri utekelezaji wa majukumu yao, utunzaji wa vifaa vitakavyotumika katika uendeshaji wa zoezi hilo na   kuzingatia muda sahihi wa kufungua vituo ambao ni saa 2:00 na kufunga saa 12:00 jioni ndani ya muda wa siku hizo saba.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 12, 2025
  • RC SENYAMULE AFANYA ZIARA KONDOA DC

    May 13, 2025
  • ELIMU YA UZUIAJI UPOTEVU WA NAFAKA KUWA SULUHISHO LA USALAMA WA CHAKULA KONDOA DC

    May 11, 2025
  • WANANCHI KIJIJI CHA ITUNDWI WAADHIMISHA KWA VITENDO SIKU YA AFYA NA LISHE

    May 07, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.