• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MILA NA DESTURI KANDAMIZI ZAPINGWA, MRADI WA MWANAMKE NA UONGOZI

Posted on: April 2nd, 2024

Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kupitia Ofisi ya Kata ya Haubi ikishirikiana na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP)imeratibu na kufanya Mdahalo wa wazi wakiadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kupitia Kaulimbiu isemayo’’Wekeza kwa Mwanamke,kuharakisha Maendeleo ya Taifa na Ustawi wa Jamii’’.

Akifungua Mdahalo huo Diwani wa Kata ya Haubi Mh.Paulo Irovya amesema Agenda ya Wanawake na Uongozi ni agenda muhimu kwa kuzingatia kuchagua na kuchaguliwa ni haki ya kila mtu,akisisitiza wanawake wanakila sababu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.

Bi.Elizabert Shoo ambaye ni Afisa Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa amewashukuru na kuwapongeza wananchi wote waliojitokeza katika mdahalo huo pamoja na Mtandao wa Jinsia Tanzania(TGNP) kwa kuwa chachu ya maendeleo wakisaidia uchambuzi wa Bajeti zenye mlengo wa kijinsia kwa kutoa fursa sawa za wanawake kushiriki kwenye shghuli za maendeleo katika halmashauri.

Kwa upande wake Mkuu wa Idara ya Ujenzi wa Nguvu za Pamoja na Harakati kutoka TGNP Bi.Flora Mbaga amesema mdahalo huo ni wa wazi uliojumuisha mbinu za kiragibishi ikiwemo nyimbo na maigizo kwa ajili ya kutoa Elimu ya kuweka wanawake kwenye nafasi za uongozi ,wakionyesha mila na desturi kandamizi ambazo zipo zinavyochangia wanawake kutojitokeza kuwania nafasi za uongozi.

Mdahalo huo umejumuisha makundi ya vijana,wanawake na wanaume kuanzia miaka 18 na kuendelea wakiibua mambo mbalimbali kama mila na desturi kandamizi,baadhi ya wanawake kutojiamini kuwania nafasi za uongozi ,vijana kutoshirikishwa katika utoaji maamuzi ,wanawake kutokupendana wakipendekeza elimu kutolewa kwa jamii juu ya ushiriki wa wanawake katika nafasi mbalimbali za uongozi.

Kata ya Haubi ni miongozi mwa kata 80 nufaika nchini kupitia mradi wa Mwanamke na Uongozi unaofadhiliwa na Mfuko wa Aghakan wenye mlengo wa kubadilisha mtazamo,mila na desturi kandamizi kuhusu ushiriki wa wanawake kwneye nafasi za uongozi.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.