• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MBUNGE WA JIMBO LA KONDOA DKT.ASHATU KIJAJI AKABIDHI AMBULANCE HOSPITALI YA WILAYA.

Posted on: February 5th, 2024

Waziri wa Viwanda na Biashara & Mbunge wa Jimbo la Kondoa Mh.Dkt Ashatu Kijaji amekabidhi Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Gar la kubebea wagonjwa (Ambulance)hospitali ya halmashauri iliyopo Bukulu

Dkt. Ashatu amemshukuru na kumpongeza MhDkt.Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kufanya makubwa kwenye sekta ya Afy, kwa kusogeza huduma kwa wananchi akiboresha mazingira ya kazi kwa kuiletea halmashauri Gari la wagonjwa na miundombinu yake akiwataka watumishi wa Afya kulitunza na matumizi lengwa na kuwaaidi kupokea gari lingine litakalotumika katika shughuli za  ufatiliaji siku chache za ufatiliaji siku chache za ufatiliaji.

Katibu Tawala Wilaya Kondoa Bi. Christina Brighton amesema Mh.Dkt Samia ameonyesha kwa vitendo namna anavyowajali watanzania akisogeza huduma za afya kwa karibu na kumpongeza  Mbunge Mh.Dkt Ashatu na Uongozi wa halmashauri kwa kuwapambania wananchi wa kondoa.

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri (W) Ndg.Shaban Millao amesema gari hilo jipya litatumia mafuta ya serikali kama mwananchi yeyote atachajiwa  taarifa hizo zimfikie na lengo mahusu la kuwekwa hospitali ya bukulu ni kusaidia pia maeneo yote yatakayokumbwa na dharura.

Diwani mwenyeji wa kata ya Soera Mh.Jamilah Gamaha amesema mworobaini umepatikana utakaotatua adha ya gari la kubebea wagonjwa ndani ya halmashauri.

Awali katika taarifa yake Mganga Mkuu wa Halmashauri Dk.Nelson Kimolo amesema kwa furaha wameandika historia kwa kupatiwa gari la kubebea  wagongwa kwenye hospitali ya halmashauri tangu kuanza kutoa huduma 31/03/202.

Akihitimisha hafla hiyo Mwenyekiti wa HalmashauriMh.Abdalah Maguo amemshukuru Mama Samia kwa kuendelea kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo la kondoa na kumwomba Mh.Dkt.Ashatu Kijaji kumfikishia salamu za shukrani na pongezi.

Huduma zitolewazo hospitalini hapo ni huduma za wagonjwa wa nje(OPD),wanawake, wanaume,watoto,mionzi, kinywa na meno,vipimo vya maabara pamoja na huduma ya kuhifadhi maiti.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.