• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA VITUO NA WASIMAMIZI WASAIDIZI JIMBO LA KONDOA YAFUNGWA

Posted on: October 27th, 2025

Mafunzo ya Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia kura na wasimamizi wasaidizi katika Jimbo la Kondoa yamefungwa rasmi leo 27,Oktoba katika Ukumbi wa Chuo cha Ualimu Bustani

Akiwasilisha Hotuba ya ufungaji wa Mafunzo hayo kwa niaba ya Msimamizi wa uchaguzi, Afisa Uchaguzi wa Jimbo la Kondoa Bi.Nyegoro Mtaki amewapongeza washiriki wote kwa kuhudhuria, kujifunza na kubadilishana uzoefu katika Sheria, Kanuni na utaratibu wa Tume huru ya Uchaguzi  Nchini.

Sanjari na hayo, Bi.Nyegoro amewapongeza Wakufunzi, wawasilishaji wa mada mbalimbali  na waandaaji wa semina hiyo maalum ya Uchaguzi iliyofanyika kwa Siku tatu Jimboni Kondoa.

Bi.Nyegoro amewasisitiza Wasimamizi na watendaji wa vituo vya kupigia kura kuzingatia na kutekeleza yale yote waliyofundishwa

"Pamoja na uzoefu mlionao katika uchaguzi, zingatieni zaidi Sheria, haswa Sheria mbili mpya ambazo ni sheria ya uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani Na.1 ya mwaka 2024 na sheria ya Tume huru ya Taifa uchaguzi Na.2 ya Mwaka 2024"

"Zingatieni pia kanuni inayoruhusu mpiga kura aliyeomba na kuruhusiwa kupiga kura moja tu ya Rais katika vituo mtakavyokuwa mmepangiwa ikiwemo vituo vilivyopo kwenye magereza"

"Nendeni mkatafsiri mafunzo haya, simamieni upigaji kura, hesabuni kura na bandikeni matokeo ya uchaguzi kwa mujibu wa sheria" alisisitiza Bi.Nyegoro

Aidha Bi.Nyegoro Amewatahadharisha Watendaji na wasimamizi hao wa vituo kujiepusha na matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii huku akihimiza utekelezaji wa viapo vyao ili kuepuka Mkono Sheria.

Bi.Nyegoro alihitimisha kwa kuwataka watendaji na wasimamizi hao kuwahi mapema katika vituo vyao, kuhakiki na kutunza vifaa vya uchaguzi na kufanya kazi kwa uzalendo katika zoezi lote la uchaguzi.

Matangazo

  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGARI October 16, 2025
  • MATOKEO KIDATO CHA SITA July 07, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA VITUO NA WASIMAMIZI WASAIDIZI JIMBO LA KONDOA YAFUNGWA

    October 27, 2025
  • UCHAGUZI MKUU 2025: MAFUNZO KWA WATENDAJI WA VITUO KDC YAFUNGULIWA

    October 26, 2025
  • MAFUNZO KWA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA 2025 KONDOA DC YAFUNGULIWA

    October 25, 2025
  • DC NYANGASA AKABIDHI VYOMBO VYA USAFIRI KWA WATENDAJI KATA

    October 24, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.