• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mafunzo ya fundi Mchundo (Local service provider LSP)

Posted on: September 15th, 2018

Katika picha ni jumla ya fundi mchundo wapatao 84 toka kwenye vijiji 84 ikijumuisha halmashauri ya kondoa yenye vijiji 63 toka kata 21 vilivyoko kwenye  mpango wa kunusuru kaya masikini na halmashauri ya kondoa mji mitaa 21 toka kata 7 zinazohudumiwa na TASAF.Mgeni rasmi katika  ufunguzi wa mafunzo haya alikua ni kaimu mkurugenzi  wa halmashauri ndugu   Archanus Kilaja ,katika ufunguzi huu alisema lengo la mafunzo haya ni kuwezesha na kuwajengea uwezo na uelewa wa pamoja juuya dhana nzima ya utekelezaji wa miradi ya ajira ya  muda kwa fundi mchundo wote watakao husika na usimamizi wa karibu katika kutekeleza miradi hii ili itekelezwe katika ubora unaokubalika kisekta na kisera.

Mgeni rasmi aliwasisitiza kua nimuhimu sana kila fundi mchundo  anapaswa kuhakikisha kua vipande vya kazi wanavyopewa walengwa ni vyenye vipimo sahihi kama mpango kazi unavoonesha,pia kutoa utaalam na usimamizi kwa niaba ya halmashauri za vijiji na ofisi ya mkurugenzi mtendaji wa halmashauri.

Tatu kuhakiki ubora wa kazi na ukamilishaji wa kazi kwa kila mlengwa kabla ya mlengwa kuondoka eneo la kazi.

Nne kuisaidia kamati kuandaa mahudhurio ya kila siku na kujaza fomu  mbalimbali zinazohusu utekelezaji wa mradi(job card)

Tano Fundi mchundo anawajibu wa kuelimisha matumizi sahihi ya fedha wanazolipwa kupitia TASAF ikiwa ni pamoja na kuwekeza katika ufugaji wa kuku,mbuzi,uanzishaji wa migahawa pamoja na uboreshaji wa makazi pia pamoja na mambo mengi aliosema , alisistiza kua ni wajibu wa fundi mchundo kuhamasisha walengwa umuhim wa kujiunga na Mfuko wa afya ya jamii(CHF) kwa shilingi 30,000/= kwa watu sita kwa kaya ili waweze kupata matibabu kwa mwaka mzima.

Miradi hii imeanza kutekelezwa rasmi katika wilaya hii kwa mwaka huu kuanzia tarehe 15/08/2018 na inategewa kukamilika tarehe 15/11/2018 ambayo itakua ni jumla ya siku 60 ikimaanisha siku 15 kwa mwezi pia wilaya ya kondoa inatekeleza jumla ya miradi 108 ambayo miradi ya makinga maji ni 30 ,miradi ya marambo ni 45, miradi ya mboga mboga ni 09, miradi ya vitalu vya miti ni 23 na mradi 01 wa kuziba korongo.

Katika kuhitimisha hotuba yake Kilaja alisema fundi mchundo ama mtoa huduma mwenyeji local service Provider akishindwa kusimamia majukumu yake ipasavyo  na kusababisha hasara ama utekelezaji hafifu wa mradi hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake ikiwa ni pamoja na kurudisha mishahara aliyolipwa na kufikishwa mahakamani mara moja na aliwatakia utekelezaji mwema wa miradi wenye kuzingatia sheria ili lengo la mradi liweze kufanikiwa.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 12, 2025
  • RC SENYAMULE AFANYA ZIARA KONDOA DC

    May 13, 2025
  • ELIMU YA UZUIAJI UPOTEVU WA NAFAKA KUWA SULUHISHO LA USALAMA WA CHAKULA KONDOA DC

    May 11, 2025
  • WANANCHI KIJIJI CHA ITUNDWI WAADHIMISHA KWA VITENDO SIKU YA AFYA NA LISHE

    May 07, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.