• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MAFUNZO KWA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA 2025 KONDOA DC YAFUNGULIWA

Posted on: October 25th, 2025

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kondoa Wakili msomi Ndg. Mashauri .M. Vicent amefungua mafunzo kwa makarani waongozaji wapiga kura kwa Jimbo hilo katika Ukumbi wa Chuo cha Bustani leo Oktoba 25, 2025

Katika hotuba yake ya ufunguzi Ndg. Mashauri amewapongeza Makarani hao kwa kuteuliwa kwao, na kuwahimiza kutimiza wajibu wao kama ilivyo ainishwa katika sheria kifungu cha 76, cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na.1 ya mwaka 2024.

"Ni vyema mkatambua kwamba, kwa kuzingatia masharti ya ibara ya 74(6) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977,Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ndiyo yenye jukumu la kusimamia na kuratibu uendeshaji wa Uchaguzi wa Rais na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano na Madiwani kwa Tanzania Bara"

"Mnategemewa kuzingatia Sheria, Kanuni na maelekezo mtakayopewa hadi hapo tutakapo kamilisha jukumu hili la Uchaguzi Mkuu" Alisisitiza Ndg. Mashauri

Aidha Ndg. Mashauri amewataka Watendaji, na Makarani waongozaji wapiga kura wapatao 419 watakaofanya shughuli za Uchaguzi katika Vituo 406 vilivyopo katika kata 21 za Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, kusoma na kuielewa vyema katiba na kanuni za Uchaguzi, kujiepusha kuwa vyanzo vya malalamiko kutoka kwa vyama vya siasa, kukagua na kuhakiki pamoja na kutunza vifaa vya uchaguzi na kushirikiana na mawakala, wasimamizi wa Uchaguzi pale ambapo itakapotakiwa kufanya hivyo.

Sanjari na hayo, Ndg. Mashauri Ameshuhudia viapo vya Watendaji na Makarani hao huku akiwakumbusha kuzingatia vyema matakwa ya Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Na.2 ya mwaka 2024.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Makarani waongozaji wapiga kura jimbo la Kondoa Ndg. Manase Munuo ameshukuru juu ya mafunzo hayo na kuahidi kutekeleza shughuli zote za uchaguzi kwa weledi, uzalendo na kwa kufuata sheria na kanuni za uchaguzi.

" kwa niaba ya makarani wenzangu, tumepokea mafunzo haya na tuko tayari kusimamia zoezi la uchaguz vyema" aliongeza Ndg.Munuo

Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unatarajiwa kufanyika Oktoba 29, huku ukiwa na kauli mbiu "Kura yako, Haki yako, Jitokeze kupiga Kura"


Matangazo

  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGARI October 16, 2025
  • MATOKEO KIDATO CHA SITA July 07, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • MAFUNZO KWA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA 2025 KONDOA DC YAFUNGULIWA

    October 25, 2025
  • DC NYANGASA AKABIDHI VYOMBO VYA USAFIRI KWA WATENDAJI KATA

    October 24, 2025
  • KONDOA DC YATOA ZAIDI YA MILIONI 758 ZA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU

    October 24, 2025
  • MKUU WA MKOA WA DODOMA AKAGUA MIRADI KONDOA DC

    October 23, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.