• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

"KONDOA KUPATA MVUA ZA WASTANI HADI CHINI YA WASTANI MSIMU MPYA WA KILIMO 2024/2025 "NDG.JUVENAL MUNISHI

Posted on: November 8th, 2024

Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa wameaswa kuanza kufanya maandalizi ya mapema mashambani katika kuelekea msimu mpya wa kilimo.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Ndg.Juvenal Munishi katika mahojiano maalum, akielezea muelekeo wa hali ya mvua wilayani Kondoa kwa mujibu wa taarifa kutoka Mamlaka ya Utabiri wa Hali ya Hewa msimu wa mvua 2024/2025 Kondoa itapata mvua za wastani hadi chini ya wastani  kukiwa na uwezekano mkubwa wa kupata mvua chini ya mm 600 ambazo zinachagua mazao ya kustawi.

"kwa kawaida huwa tunapata mvua za mm 620 mpaka mm 650 kwa mwaka na kwa mujibu wa Mamlaka ya Utabiri wa Hali ya Hewa kuna uwezekano mkubwa wa kupata mvua chini ya mm 600 ambazo huchagua mazao ya kustawi kutokana na mtawanyiko wake" amesema Ndg.Munishi.

Ndg.Munishi ametoa rai kwa wananchi, wakulima na wafugaji kuzitumia kwa umakini mkubwa unyeshaji wa mvua ili kuepukana na adha ya kukosa chakula na malisho ya mifugo kwa kufanya maandalizi ya mashamba mapema.

Ndg.Munishi ameongeza akielezea juhudi za serikali kuendelea kuwasogezea mbegu na mbolea ya ruzuku hadi kuanzia wiki ya pili ya mwezi Novemba mbolea ya ruzuku na mbegu kuanza kutolewa katika vituo elekezi vilivyopo halmashauri.

Mbolea ya Ruzuku itakayolewa ni ya kupandia (DAP), mbegu za mazao tofauti ikiwemo mahindi ya muda mfupi na mbegu ya alizeti (hybrid)inayouzwa kwa Sh 35,000 @ kilo moja ambayo Serikali imechangia sh 25,000 ikimpa nafasi mkulima kulipa sh10,000 tu kupata mbegu hiyo kwa wakulima waliojisajili kwenye mfumo wa mbolea na mbegu za ruzuku.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • ELIMU YA BAJETI YA MLENGO WA KIJINSIA KUINUFAISHA KONDOA

    June 26, 2025
  • STAKABADHI GHALANI MUAROBAINI ENDELEVU KWA WAKULIMA WILAYA YA KONDOA

    June 25, 2025
  • WALIMU NA MAAFISA ELIMU KATA KONDOA DC WAJENGEWA UWEZO WA USIMAMIZI UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI

    June 21, 2025
  • WARAGHIBISHI MASUALA YA KIJINSIA WILAYA YA KONDOA WAJENGEWA UWEZO

    June 21, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.