• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KONDOA DC YAPATA HATI SAFI MIAKA MITATU MFULULIZO

Posted on: June 26th, 2024

Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa imepata Hati safi kwa kipindi cha miaka mitatu(3) mfululizo 2020/2021,2021/2022 na 2022/2023 ikiwa na jumla ya hoja 48.

Hayo yamesemwa katika Kikao cha Baraza la Madiwani likipokea na kujadili hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa kipindi cha mwaka wa fedha unaoishia Juni 30,2023.

Bw.Karimu Mwinyimbegu ambaye ni Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Nje Mkoa wa Dodoma amesema Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa imepata hati safi kupitia jumla ya hoja 48(Kisera 3,Kisheria 4 na zinazohitaji utekelezaji wa Halmashauri ni 41) na hadi kufikia sasa jumla ya hoja 15 zimependekezwa kufungwa baada ya Halmashauri kuwasilisha majibu ya Uongozi na Mpango wa utekelezaji wa mapendekezo ya Mkaguzi kwenye Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Nje.(CEA -Dodoma).

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kwa kupata hati safi kwa mara ya tatu mfululizo akiitaka kuwachukulia hatua wanaosababisha hoja za uzembe.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe.Fatma Nyangassa ametumia nafasi hiyo kujitambulisha baada ya kufanyika mabadiliko ya uhamisho uliofanywa na Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan akimpangia nafasi hiyo katika Wilaya ya Kondoa, amesema ufatwaji wa taratibu na kuwajibika ipasavyo katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo utasaidia halmashauri kutopata hoja bila sababu za msingi.

Ndg.Shaban Millao ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kwa niaba ya watumishi ameahidi kutekeleza hoja zilizobainishwa na mkaguzi kuzifanyia kazi kwa weledi hoja zilizo chini ya uwezo wa halmashauri kuzimaliza.

Akihitimisha kikao hicho Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe.Abdalah Maguo amesema Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kupitia kamati ya fedha imedhamiria kutokua na hoja ikipanga kumwezesha Mkaguzi wa Ndani katika kuhakikisha anatekeleza shughuli zake ipasavyo katika kuikoa halmashauri kuepukana na hoja za Mkaguzi wa Nje.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.