• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KONDOA DC YAJIPAMBANUA UFAULU MATOKEO YA MOCK MKOA 2025

Posted on: July 12th, 2025

Wataalam wa Elimu Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa wamefanya Tathimini ya pamoja dhidi ya Mtihani wa Utamilifu (MOCK)kwa wanafunzi Darasa la Saba.

Akiongoza kikao hicho Mkuu wa Divisheni ya Elimu Awali na Msingi, Mwl.Eugen Shirima amesema lengo la tathmini hiyo ni kujiwekea  mikakati mipya katika kipindi cha muhula wa pili wa masomo  kuelekea ufanyikaji wa mtihani wa taifa darasa la Saba ili kuongeza ufaulu kupitia kipimo cha Mtihani wa Utamilifu uliofanyika mwezi wa tano.

"Matokeo haya ya MOCK Mkoa yametupa 77.9% ambayo ni zaidi ya ufaulu wa kitaifa mwaka 2024 ambayo yalikua 76%, tunataka mwaka huu kuvuka zaidi ya hatua 10 mbele.kupitia matokeo hayo yanatulazimu kuongeza juhudi kubwa kuwasaidia wanafunzi wetu kufanya vizuri."alisema Mwl.Shirima.

Mwl.Shirima amesema halmashauri imejiwekea malengo ya  kufikia asilimia 95% ya ufaulu ikisimamia mpango mkakati wa Mkoa wa Dodoma dhidi ya kauli mbiu isemayo "Uwajibikaji wangu ndio Msingi wa kuinua Ubora wa Elimu na Ufaulu Dodoma ".

Tathmini hiyo imefanyika ikiwakutanisha Walimu Wakuu, Maafisa Elimu Kata na Halmashauri ikiwa ni baada ya kufanyika kwa Mtihani wa Utamilifu kwa darasa la saba(7) mwaka 2025 uliofanyika tarehe 21 hadi 22 mwezi Mei kwa jumla ya watahiniwa 3,735 sawa na asilimia 77.9 waliofanya mtihani huo wamepata madaraja A,B na C.Wavulana waliofaulu ni 1,533 sawa na asilimia 41.0 na wasichana ni 2,202 sawa na asilimia 58.9.

Matangazo

  • MATOKEO KIDATO CHA SITA July 07, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WANOLEWA MFUMO WA E-UTENDAJI

    July 12, 2025
  • KONDOA DC YAJIPAMBANUA UFAULU MATOKEO YA MOCK MKOA 2025

    July 12, 2025
  • WATAALAM WA ELIMU KONDOA DC WAPIGWA MSASA KWA VITENDO ELIMU YA UOTESHAJI MICHE YA MITI

    July 12, 2025
  • ZAIDI YA WATU 14,000 KUNUFAIKA NA MRADI MKUBWA WA MAJI KWADELO

    July 01, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.