• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KONDOA DC YAADHIMISHA JUMA LA ELIMU YA WATU WAZIMA KWA KISHINDO

Posted on: August 21st, 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa imeadhimisha Juma la Elimu ya Watu Wazima yakiwakutanisha wadau wa elimu, wazazi na jamii.

Hayo yamejiri Agosti 16,2025 katika kata ya Kikilo iliyopo katika Halmashauri ya Kondoa, wakipata fursa ya kuona shughuli mbalimbali zinazofanywa na sekta ya Elimu ya Wazima kiwilaya.

Akifungua maadhimisho hayo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Kondoa, Ndg.Lazaro Molel, ambaye pia Afisa Tarafa, Tarafa ya Bereko amesema elimu ya watu wazima ni nguzo muhimu kwa maendeleo ya mtu binafsi na maendeleo ya jamii nzima kwa kujipatia stadi mpya, kuendeleza kwa ufanisi zaidi akifanyacho.

Kwa upande wake Afisa Elimu Sekondari Mwl.Estomih Nkwera amesema malengo ya wiki ya juma la elimu ya watu wazima yanahusisha ufanyikaji wa tathmini ya shughuli zote za elimu ya watu wazima katika Halmashauri ili kuweka malengo na mikakati inayotekelezeka kwa kuwakutanisha wadau mbalimbali wa elimu pamoja ili kuona mafanikio na changamoto zinazoikabili elimu ya watu wazima na elimu nje ya mfumo rasmi.

Maadhimisho haya yamekwenda sambamba na michezo na maonyesho mbalimbali, upokeaji wa taarifa za mafanikio na changamoto za elimu ya watu wazima kwa kuongozwa na kauli mbiu isemayo" Kukuza Kisomo katika zama za kidijitali kwa maendeleo endelevu ya Taifa letu".

Kwa mujibu wa Sensa ya Kisomo ya Halmashauri ya Oktoba 2022 kati ya watu 244,254 watu 11,461sawa na asilimia 4.7% hawajui kusoma, kuandika na kuhesabu kwa kulitambua hilo Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mhe.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imefanikiwa kufungua vituo 9 vya MEMKWA katika kipindi cha mwaka 2022-2025, Jumla ya wanafunzi 141 wakiwemo wavulana 73 na wasichana 68 wamefaulu kutoka kwenye mfumo usio rasmi na kujiunga katika mfumo rasmi wa elimu, walimu 46 kati ya 80 waliosajiliwa katika programu ya kisomo  cha kujiendeleza wamehitimu elimu ngazi ya stashahada ya Elimu ya Watu Wazima na Elimu endelevu.

MEMKWA (Mpango wa Elimu Msingi kwa waliokosa )ni programu ambayo inajikita katika kutoa elimu kwa vijana waliochelewa kujiunga na elimu ya Msingi katika mfumo rasmi kutokana na sababu kadha wa kadha kama vile kuhamahama kwa wazazi ambapo walengwa wa Programu ni kuanzia umri wa miaka 9-13.

Matangazo

  • MATOKEO KIDATO CHA SITA July 07, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE KONDOA DC YAFANYA ZIARA KATA YA BUMBUTA

    August 22, 2025
  • KONDOA DC YAADHIMISHA JUMA LA ELIMU YA WATU WAZIMA KWA KISHINDO

    August 21, 2025
  • NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI AKAGUA UTEKELEZAJI WA KAMPENI YA CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO KONDOA DC

    July 22, 2025
  • WATUMISHI KONDOA DC WANOLEWA MFUMO WA E-UTENDAJI

    July 12, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.