• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KITABU CHA "DUNIA YANGU BORA" KUTUMIKA MRADI WA STADI ZA MAISHA KONDOA

Posted on: May 20th, 2024

Serikali kwa Kushirikiana na Shirika lisilo la Kiserikali CAMFED kupitia mradi wa Programu ya Stadi za Maisha unaoinufaisha mikoa 10 Tanzania Bara limeidhinisha kitabu cha "Dunia yangu Bora" kuanza kutumika mwaka 2025 kufundishia Wanafunzi wa kidato cha kwanza.

Hayo yamebainishwa katika mafunzo ya muda wa siku 2 kwa Maafisa Elimu Kata,Wakuu wa Shule na Walimu Walezi katika Ukumbi wa Mikutano Kondoa Irangi Kondoa Mjini yakiwataka kuandaa mchakato utakaosaidia kupata wawezeshaji wa kujitolea kufundisha somo hilo litakalosaidia wanafunzi kujitambua,kuelimikakuthaminika n.k.

Wito huo umetolewa na Bi.Clara Joseph ambaye ni Mratibu wa CAMFED Mkoa wa Dodoma amesema "kitabu kina mada ambazo zitamwezesha mwanafunzi kujitambua, kumuongezea ufaulu katika masomo yake kupitia mchakato wa kupata wawezeshaji watakaopata mafunzo kuanzia umri wa miaka 18 hadi 25.

Kitabu hicho kimegawanyika katika sehemu kuu mbili "Ustawi na Uwezo ambazo ni Dhana ya mahitaji ya Msingi ya Binadamu, Dunia Tunamoishi,Dunia Asilia, Marafiki, Haki sheria na mila, kuwa vizuri na kufanya vizuri n.k.

Aidha katika mafunzo hayo suala la Sera ya Ulinzi wa Mtoto na kanuni za utekelezaji limehamasishwa kwa jamii  kuwalinda na kuwaepusha watoto kuingia katika mazingira ya kudhalilishwa, wakijengewa uhakika wa kushughulikia hali hizo.

Kwa niaba ya wapokea mafunzo hayo Afisa Elimu kata ya Pahi Mw.Adam Faraji amesema wamejifunza kitu kipya ambacho hawakujifunza awali, waliahidi kwenda kuutekeleza zaidi ya asilimia 100% tofauti na maeneo mengine waliopokea mafunzo.

Akifunga mafunzo hayo kwa niaba ya Ofisi ya Mkurugenzi Afisa Elimu ya Watu wazima ndugu Estomihi Nkwera ametoa shukrani za dhati kwa waandaaji wa mafunzo hayo pamoja na utayari wa upokeaji mafunzo kwa wapokea mafunzo akiamini mafunzo hayo yataenda kuwabadilisha wanafunzi ili kuwaongezea hari ya kupenda kusoma, kupata tiba ya mdondoko kitaalum na kupunguza/kufuta utoro.

Baada ya kukamilika kwa mafunzo hayo kwa wataalam wa elimu ngazi ya halmashauri, mchakato utakaofuata ni kutafuta wawezeshaji watakaojitolea  katika shule za Sekondari kufundisha programu hiyo kuanzia Januari 2025, utaratibu wa matangazo ya ajira hizo utaandaliwa na Halmashauri Divisheni ya Elimu Sekondari kwa kufuata vigezo lengwa  kabla ya mradi kuanza mapema mwakani.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 12, 2025
  • RC SENYAMULE AFANYA ZIARA KONDOA DC

    May 13, 2025
  • ELIMU YA UZUIAJI UPOTEVU WA NAFAKA KUWA SULUHISHO LA USALAMA WA CHAKULA KONDOA DC

    May 11, 2025
  • WANANCHI KIJIJI CHA ITUNDWI WAADHIMISHA KWA VITENDO SIKU YA AFYA NA LISHE

    May 07, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.