• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA LISHE KONDOA DC YAFANYA ZIARA KATA YA BUMBUTA

Posted on: August 22nd, 2025

Kamati ya lishe Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa imefanya ziara katika kata ya Bumbuta kukagua utekelezaji wa Afua za lishe.

Akiongoza kamati hiyo kwa niaba ya Mwenyekiti wa Kamati, Ndg.Peter Ngomuo ambaye ni Mkuu wa Divisheni ya Utawala na Rasilimali Watu amesema lengo la ziara hiyo ni kukagua utekelezaji wa afua za lishe kwa robo ya nne( 2024/2025) zinazotekelezwa katika kata hiyo.

Wakiwa ziarani ujumbe huo umekagua hali ya utoaji wa huduma ya chakula shule ya sekondari Bumbuta, Ufungwaji wa mashine maalum ya kinyunyizi virutubishi (dosifier)ambayo imefungwa katika kiwanda cha kusaga mahindi pamoja na ukaguzi wa huduma za afua za lishe katika Zahanati ya Bumbuta. Lengo likiwa ni kuboresha Lishe kwa Jamii hususan, Wanafunzi, kina Mama wajawazito na Watoto chini ya miaka 5

Katika ziara hiyo ujumbe wa kamati ya lishe ulipokea taarifa ya hali ya utekelezaji wa afua za lishe na ulisisita uendelezwaji wa kutoa elimu kwa jamii dhidi ya umuhimu wa matumizi ya unga wenye virutubishi kupitia kiwanda kilichopo kwenye kata hiyo sambamba na uhamasishaji wananchi kuendelea kuchangia chakula shuleni.

Ziara hii ilijumuisha wajumbe kutoka Divisheni ya Elimu Msingi & Sekondari,  Maendeleo ya Jamii, Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii pamoja na Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi.

Habari na; Brighton Kimaro

Mhariri: Cosmas Mworia

KDC-Habari

Matangazo

  • MATOKEO KIDATO CHA SITA July 07, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE KONDOA DC YAFANYA ZIARA KATA YA BUMBUTA

    August 22, 2025
  • KONDOA DC YAADHIMISHA JUMA LA ELIMU YA WATU WAZIMA KWA KISHINDO

    August 21, 2025
  • NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI AKAGUA UTEKELEZAJI WA KAMPENI YA CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO KONDOA DC

    July 22, 2025
  • WATUMISHI KONDOA DC WANOLEWA MFUMO WA E-UTENDAJI

    July 12, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.