• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA FEDHA YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA ELIMU KONDOA DC

Posted on: October 30th, 2024

Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kupitia Kamati ya Fedha imetembelea na kukagua miradi ya maendeleo katika shule za Sekondari Mnenia, Kisese na Bukulu.

Akiongoza kamati hiyo Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe.Salum Mabote, wamekagua Mradi wa ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Mnenia (Kata ya Mnenia), Ujenzi wa vyumba viwili vya Madarasa na Mabweni mawili (Kata ya Kisese na Soera) ambayo miradi yote mitatu inatekelezwa kwa fedha za Serikali kuu kupitia mpango wa Tanzania Secondary Education Quality Improvement Project (SEQUIP).

Mhe.Mabote ameanza kwa kupongeza jitihada  kubwa zinazofanywa na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Mhe.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika kuimarisha Sekta ya Elimu nchini kwa kutoa fedha nyingi katika ujenzi wa vyumba vya madarasa, ofisi, maktaba, maabara, mabweni, vyoo n.k, akisisitiza usimamizi bora wa miradi hiyo ikiendana na thamani halisi ya fedha pamoja na kukamilika kwa wakati.

Katika mradi wa ujenzi wa shule mpya ya Sekondari Mnenia Jumla ya Sh.544,225,626.00 zimetolewa na Serikali kuu kwa ajili ya ujenzi wa jengo la utawala, vyumba viwili vya madarasa, Ofisi ya Walimu, jengo la Maabara ya Biolojia, Kemia & Fizikia, Maktaba, Chumba cha TEHAMA, Kichomea taka,

tanki la maji na vyoo vya wanafunzi (Wavulana matundu 4 na Wasichana matundu 4 yakijumuisha na vya wanafunzi wenye mahitaji maalum.

Mradi huu wa Sekondari ambao awali ulianzishwa kwa nguvu za wananchi kwa thamani ya Tsh Mil 20 ulipata ufadhili kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF Tsh Mil 113 kabla ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kuongeza Tsh Mil 25 na hatimae Serikali kuu inayoongozwa na Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kutoa fedha.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.