• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

JUMLA YA TANI 215.4 ZA UFUTA ZAUZWA KWA MNADA WA KIDIJITALI KATIKA GHALA LA KATA YA KWADELO KONDOA DC

Posted on: June 17th, 2025

Wakulima wa Zao la Ufuta katika Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa wamefanikiwa kuuza jumla ya Tani 215.4 ya zao hilo kwa Mnada wa Kidigitali katika Kata ya Kwadelo kupitia mfumo wa Stakabadhi za Mazao ghalani.

Haya yamejiri ikiwa ni baada ya Tangazo la Serikali kupitia mwongozo wa Biashara ya Mazao ya Dengu, Mbaazi, Soya na Ufuta toleo na 3.2025 uliotolewa kwa pamoja chini Udhibiti wa nafaka na Mazao mchanganyiko (COPRA), Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC), Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za maghala (WRRB) na Soko la Bidhaa Tanzania (TMX). Serikali ikielekeza mazao haya yauzwe kupitia mfumo wa Stakabadhi ghalani chini ya Usimamizi wa ushirika wa kilimo na Masoko (AMCOS).

Kupitia Mfumo huu wa Stakabadhi ghalani wakulima kutoka Chama cha NGUVU MOJA AMCOS kilichopo kata ya Itaswi wameshuhudia Ununuzi na uuzaji wa zao la ufuta kwa njia ya kidijitali ambapo Bei ya Ufuta imenunuliwa kwa Tzs 2,310 kwa kilo sawa na Tzs 497,553,210/= zilizotokana na wakulima hao kuuza jumla ya Tani 215.4 za zao hilo.

Sambamba na zoezi hilo Elimu dhidi ya Matumizi ya Mfumo huo wa Stakabadhi ghalani umeendelea kutolewa kwa wakulima wa zao hilo ili kupata uelewa wa pamoja ukilenga kuwanufaisha wakulima hao.

Mnada huu wa zao la Ufuta  umefanyika katika Halmashauri zingine za Mkoa wa Dodoma ikiwemo Dodoma Jiji pamoja na Chemba DC , jumla ya Kilogram 1,353,984 zikiuzwa kupitia Mfumo wa Stakabadhi ghalani kwa mkoa wa Dodoma mapema Juni 14,2025 katika Halmashauri hizo za Kondoa DC,Chemba Dc na Dodoma CC

Zoezi hili ni endelevu kwa mazao ya kimkakati,wakulima wote wanahamasishwa kuendelea kupeleka zao la ufuta katika maghala yaliyo karibu nayo.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • ELIMU YA BAJETI YA MLENGO WA KIJINSIA KUINUFAISHA KONDOA

    June 26, 2025
  • STAKABADHI GHALANI MUAROBAINI ENDELEVU KWA WAKULIMA WILAYA YA KONDOA

    June 25, 2025
  • WALIMU NA MAAFISA ELIMU KATA KONDOA DC WAJENGEWA UWEZO WA USIMAMIZI UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI

    June 21, 2025
  • WARAGHIBISHI MASUALA YA KIJINSIA WILAYA YA KONDOA WAJENGEWA UWEZO

    June 21, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.