• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

INNOVATION AFRICA –TANZANIA KUPUNGUZA ADHA YA MAJI KONDOA DC

Posted on: January 22nd, 2024

Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ni mwa baadhi ya halmashauri mkoani Dodoma zinazonufaika na miradi ya uchimbawaji visima kwa vijiji vyenye wakazi 3000 na zaidi kupitia ufadhili wa shirika lisilo la kiserikali nchini la INNOVATION AFRICA TANZANIA.

Kwa kipindi cha mwaka 2023 halmashauri kupitia vijiji takribani 15 vilinufaika na miradi ya uchimbiwaji visima na ujenzi wa vituo vya kutolea huduma ya maji ikiwemo Kwadinu ,Changaa,Chololo,Endamoshi,Makafa,Mahongo,Mwisanga,Kalamba chini,Hebi juu,Waki,Mitati,Kiroroma,Loo,Kikore,Kwahengwa,Sakami pamoja na Salanka.

Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mh.Dkt Khamis Mkanachi ametumia nafasi hiyo kuipongeza INNOVATION AFRICA kwa jitihada zao za kushirikiana na Serikali ya Awamu ya Sita kupitia Wakala wa Maji Mijini na Vijijini (RUWASA) kwa kufadhili uchimbaji visima vya maji safi na salama ili kupungza adha ya maji inayovikumba vijiji na mitaa mingi wilayani kondoa akiwaomba kuendelea kuchimba visima vingi katika vijiji vingine vinavyokumbwa na adha hiyo.

Awali katika taarifa yake Ndg.Kelvin Madundo ambaye ni Meneja INNOVCATION AFRICA TANZANIA amesema zaidi ya vijiji 27 kwa mwaka 2024 viko katika mpango wa kuchimbiwa visima wilayani baada ya kujumuishwa katika mpango wa kupata huduma ya maji kwa kukidhi vigezo vya wafadhili.

Ndg.Madundo amesema utafiti hufanyika kwenye kijiji nufaika kwa ajili ya kupata maji safi na salama ,Ujenzi wa miradi ya maji kwa kuchimba kisima ,Uwekaji umeme wa Nishati ya Jua ili kupunguza gharama za ununuzi wa huduma ya luku,Uwekaji wa Tanki la maji la ujazo wa lita 10,000, Uchimbaji wa mitaro kwa kushirikiana na wanachi wanufaika mradi ,Ujenzi wa vituo 5 hadi 8 vya usambazaji wa maji kijiji husika pamoja na Utoaji wa mafunzo ya usimamizi wa mradi kwa wazawa 10 kutoka kijiji husika kwa kipindi chote cha ujenzi wa mradi ili kusaidia kuendesha mifumo na ukarabati wa mradi baada ya kukamilika.

Warsha hiyo imewakutanisha wadau mbalimbali wa maji wakiwemo waheshimiwa Madiwani ,Maafisa tarafa ,Wenyeviti,Watendaji wa vijiji nufaika,Wakala wa maji mijini na vijijini (RUWASA) na Mamlaka ya maji mjini ( KONDUWASA), Viongozi wa Dini na Chama ,Makaimu Wakurugenzi Halmashauri Wilaya na Mji na wageni wengine.Taarifa na chanzo chetu www.kondoadc.go.tz.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 12, 2025
  • RC SENYAMULE AFANYA ZIARA KONDOA DC

    May 13, 2025
  • ELIMU YA UZUIAJI UPOTEVU WA NAFAKA KUWA SULUHISHO LA USALAMA WA CHAKULA KONDOA DC

    May 11, 2025
  • WANANCHI KIJIJI CHA ITUNDWI WAADHIMISHA KWA VITENDO SIKU YA AFYA NA LISHE

    May 07, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.