• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

HUDUMA YA MBOLEA YA RUZUKU KUTOLEWA KONDOA DC

Posted on: December 12th, 2024

Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo, inaendelea kutoa huduma ya mbolea ya ruzuku katika vituo vinne vilivyopo katika Halmashauri.

Akizungumza katika mahojiano maalum Mkuu wa Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Ndg.Juvenal Munishi amesema huduma hiyo ya utoaji wa mbolea ya ruzuku inatolewa katika vituo vinne vya Haubi, Loo, Bukulu pamoja na Bereko.

"Mkulima anapaswa kuwa na namba yake ya mkulima (aliyoipata baada ya kusajiliwa kwenye mfumo wa ruzuku ya Serikali ndipo anaweza kupata huduma hiyo kwa Bei ya punguzo. Kama mkulima hana namba ya usajili, amuone mtalaamu wa Ugani wa kata au Kijiji chake akiwa na namba ya kitambulisho cha NIDA na hapo atasajiliwa na kupata namba yake ndani ya dakika 3 hadi 5.

 Pia ameeleza kuwa ni lazima mkulima aende na simu yenye namba iliyotumika kujisajili kwa sababu kabla ya mauzo, mkulima atatumiwa namba za siri ambazo atampatia muuzaji ili akamilishe mauzo.

Ndg.Munishi amesema mbolea ya kupandia iliyopo inaitwa Fomi Otesha ambayo wakulima wengi wameitumia katika misimu miwili iliyopita ambayo imefanya vizuri. " Mbolea hiyo ina virutubishi aina 5 ambavyo ni muhimu sana kwenye ukuaji wa mimea".

Ndg. Munishi amesema, Halmashauri imekubaliana na wadau wa maendeleo wanaouza mbolea hizo kuwa kuanzia tarehe 20 Disemba, walete mbolea ya kukuzia (Sulphate of Ammonia-SA kwa ukanda wa Haubi na Kalamba na UREA kwa ukanda wa Bukulu na Bereko).

Mahitaji ya mbolea za kupandia na kukuzia katika Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa katika msimu wa 2024/2025 ni tani 950 ambapo kwa kipindi cha mwezi Novemba hadi tarehe 5 Disemba, 2024 zimenunuliwa tani 112.5. Katika msimu uliopita wa 2023/2024 jumla ya tani 625.5 zilitumika kupandia na kukuzia mazao mbalimbali.

 Pia Ndg.Munishi ameendelea kuwakumbusha Wakulima kuendelea kufuata kanuni bora za kilimo bora ikiwa ni pamoja na kutumia mbegu bora, kupanda kwa nafasi, kutumia mbolea za kupandia na kukuzia, kuangamiza wadudu waharibifu wa mazao n.k. Kwa kufanya hivyo, wakulima watazalisha kwa tija, watapata chakula cha kutosha na watauza mazao ya biashara ili waongeze

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.