• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

ELIMU YA MLIPA KODI YATOLEWA KWA WADAU WILAYA YA KONDOA

Posted on: October 1st, 2024

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)-Wilaya ya Kondoa imetoa semina ya elimu ya mlipa kodi kwa wafanyabiashara,taasisi za umma na binafsi pamoja na  wananchi kwa ujumla, katika  ukumbi wa mikutano wa Kondoa Irangi uliopo Kondoa Mjini.

Akizungumza katika semina hiyo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe.Fatma Almas Nyangasa, Afisa Tarafa ya Kondoa Mji Ndg.Ally Mbena amewataka wapokea taarifa za siri kutoka TRA kuziishi kwa kuwalinda watoa taarifa dhidi ya wakwepa kodi na kuepuka tabia ya kufichuana.

Ndg.Ally ameongeza katika kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 wananchi wa wilaya ya Kondoa wenye umri kuanzia miaka 18 kutumia fursa ya kushiriki kujiandikisha, kugombea nafasi mbali mbali za uongozi mbalimbali, kuchagua viongozi bora kwa maslahi ya Taifa kwa kupiga kura na kuwataka wananchi kuwa mabalozi wazuri wa kukemea ukatili wa kijinsia.

Awali kabla ya kumkaribisha mwakilishi kutoka ofisi ya Mkuu wa Wilaya, Meneja Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA-KONDOA)Ndg.Mohamed Kapera amesema wameridhishwa na kuhamasika juu ya mahudhurio makubwa ya wadau waliojitokeza katika semina hiyo ya kujifunza juu ya Elimu ya Mlipa Kodi, kuuliza maswali kuhusu TRA akiahidi kutoa ushirikiano kwa wateja na watoa taarifa dhidi ya wakwepa kodi nchini bila kuwataja watoa taarifa hizo kwa umma.

Kwa upande wake Afisa Msimamizi wa Kodi Mkuu Mkoa wa Dodoma, Ndg.Filipo Eliamini alisema lengo la semina hiyo ni kutoa ufahamu dhidi ya ulipaji wa kodi na matakwa mbalimbali ya kisheria,kuwakumbusha wajibu wa kutekeleza sheria za kodi,ukataji na uwasilishaji wa kodi ya zuio kwa watumishi wa serikali kupitia miradi pamoja na kutoa msisitizo kwa watoa na wapokea huduma kutoa na kudai risiti baada kufanya manunuzi mbalimbali.

Ndg.Eliamini ameongeza"niwasisitize tulipe kodi kwa wakati kuepuka riba,tunapolipa kodi tunaisadia Serikali katika kuendeshe nchi yetu  ikitekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kwa maslahi ya Taifa ".

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.