• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

ELIMU YA BAJETI YA MLENGO WA KIJINSIA KUINUFAISHA KONDOA

Posted on: June 26th, 2025

Timu ya Waraghibishi Halmashauri ya Wilaya na Mji Kondoa imejengewa uwezo wa Elimu ya Bajeti yenye Mlengo wa Kijinsia.

Elimu hii inalenga kuwawezesha Wanawake, Wanaume na Vijana kutoka Vitongoji, Vijiji, Mitaa, Kata na Mamlaka za Serikali za mitaa ili washiriki kikamilifu katika kupanga na kufuatilia Uibuaji na Upangaji wa Vipaumbele na Mipango ya Bajeti katika Halmashauri kwa mtazamo wa kijinsia.

Akitoa elimu hiyo kwa Waraghibishi hao Mwezeshaji wa Jamii katika Masuala ya Kijinsia Ndg.Deogratius Temba amesema faida ya elimu hiyo inalenga kuwaandaa washiriki kama waelimishaji rika katika vijiji vyao ili waweze kufikisha uelewa huo kwa jamii na kuisaidia kupanga kwa pamoja njia bora za kuboresha Bajeti ziwe na mtazamo wa kijinsia na kuboresha huduma za WASH (Maji,Usafi na Afya).

"Katika muktadha wa Tanzania, mchakato wa O&OD (Fursa na Vikwazo) ni sehemu ya msingi katika upangaji wa mipango ya maendeleo ya jamii.Mchakato huu unaongozwa na taratibu rasmi za Serikali za mitaa na hushirikisha jamii katika kila hatua ya kupanga." alisema Ndg.Temba.

Ndg.Temba amesema wananchi wana nafasi katika mzunguko wa Mipango na Bajeti katika mwaka wa fedha kwa mwezi Julai -Oktoba ni wakati muhimu kwa jamii kushiriki kwenye mikutano ya vijiji/mitaa kutoa hoja kuhusu huduma za WASH/Kijinsia kwenye Zahanati, Kilimo, Maji n.k.

Mzunguko wa Mipango na Bajeti katika mwaka wa fedha wa Serikali (Julai hadi Juni)

1.Julai-Septemba ; Tathmini ya mwaka uliopita, Kuanza kwa ukusanyaji wa mahitaji  kutoka ngazi ya jamii kupitia O& OD, Ushiriki wa wananchi kwenye mikutano ya vijiji/mitaa kutambua changamoto na fursa.

2.Oktoba-Disemba ; Kamati za Maendeleo za vijiji/mitaa huandaa mpango wa awali, Mahitaji huchambuliwa na kuandaliwa katika nyaraka rasmi, VEOs/MEOs wanajaza fomu maalum ya O & OD inayotoka Halmashauri kupitia kwa WEO , Fomu hii ikishawasilishwa kata, kikao cha WDC kitaitishwa kwa ajili ya kujadili na kupitisha vipaumbele vya kata.

3.Januari-Februari ; Mpango wa vijiji hupelekwa kwenye halmashauri ya Wilaya kwa ajili ya kuchambuliwa kuunganishwa katika mpango wa maendeleo wa mwaka na kisha Baraza la Madiwani la Bajeti linapitisha makadirio ya Bajeti kwa Halmashauri kwa mwaka husika.

4.Machi-Mei ; Halmashauri huandaa rasimu ya Bajeti na kuwasilisha TAMISEMI.

5.Juni ; Bajeti kuu hupitishwa  na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa kuzingatia mzunguko huu Jamii itaweza kupanga kwa pamoja njia bora za kuboresha Bajeti  yenye kuzingatia vipaumbele vyenye mtazamo wa kijinsia na huduma za WASH.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • ELIMU YA BAJETI YA MLENGO WA KIJINSIA KUINUFAISHA KONDOA

    June 26, 2025
  • STAKABADHI GHALANI MUAROBAINI ENDELEVU KWA WAKULIMA WILAYA YA KONDOA

    June 25, 2025
  • WALIMU NA MAAFISA ELIMU KATA KONDOA DC WAJENGEWA UWEZO WA USIMAMIZI UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI

    June 21, 2025
  • WARAGHIBISHI MASUALA YA KIJINSIA WILAYA YA KONDOA WAJENGEWA UWEZO

    June 21, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.