• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DKT CHARLES MSONDE AFUNGA MAFUNZO KWA WALIMU MKOA WA DODOMA –BUSTANI KONDOA

Posted on: March 1st, 2024

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tamisemi Dkt.Charles Msonde amefunga mafunzo kwa walimu 120 wa Elimu ya awali na maafisa elimu kata katika chuo cha Ualimu Bustani Wilayani Kondoa yaliyoandaliwa na Serikali kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali nchini Children in Crossfire.

Dkt.Msonde amesema walimu ni lulu ,serikali kwa kushirikiana na wadau wa elimu inaheshimu na kutambua hadhi yao akiwataka kilinda maadili na nidhamuu kutengeneza kizazi kilichobora na kupitia mafunzo hayo yakawasaidie kufanya mapinduzi makubwa ya elimu bora.

Dkt. Emanuel Shindika (Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Elimu OR TAMISEMI)amesema Ofisi ya Rais Tamisemi inatambua shughuli za serikali na shughuli zinazotekelezwa na shirika hilo katika kuhakikisha elimu ya awali inatekelezwa kwa bora ,viwango stahiki,sera,miongozo na mabadiliko ya kielimu akiwaasa kupanua wigo zaidi katika mikoa mingine kuwajengea uwezo walimu.

Kwa upande wake Afisa Elimu Mkoa wa Dodoma Mw.Vicent B.Kayombo amesema mafunzo hayo yametolewa kwa walimu 326 ikiwa na walimu wa awali mahiri 146,maafisa elimu ngazi ya kata 146,viongozi wa elimu halmashauri 32,wataalam wawili wa mkoa wakiwawezesha jumla ya mada 11 ikiwemo makuzio ya ubongo wa mtoto katika miaka ya awali ,wasilisho la mtaala wa elimu 2023,elimu jumuishi,maandalizi ya ujifunzaji na ufundishaji n.k akitoa shukrani kwa shirika hilo kwa mchango wake katika sekta ya Elimu mkoani Dodoma.

Naye Mkurugenzi Mkazi wa Children in Crossfire Ndg.Craig Ferla amesema wanatambua uwekezaji unaofanywa na serikali kwenye elimu ya awali na mkoa wa Dodoma ni mfano katika uwekezaji wa kimkakati ,elimu ya awali ikinawiri itakua chachu kwa Bara zima la Afrika kwa matokeo makubwa ikiwa watoto watapata Elimu ya Awali bora,itawajengea utayari wa shule kuwa kwenye mwelekeo sahihi wa ukuaji wao ili kujenga rasilimali watu wenye tija zaidi.

Mafunzo hayo yamefanyika katika vituo viwili vilivyogawa halmashauri za mkoa wa Dodoma yakianzia kituo cha Dodoma Jiji kwa Halmashauri ya Mpwapwa,Bahi na Manispaa ya Dodoma Jiji ,kituo cha pili ni Chuo cha Ualimu Bustani Wilayani Kondoa ikizikutanisha halmashauri za Wilaya &Mji Kondoa pamoja na Chemba ikiwakutanisha Maafisa elimu kata ,Wadhibiti ubora wa halmashauri,Afisa elimu maalum ,Taaluma pamoja na Wawezeshaji kutoka Vyuo vya Ualimu ,Chuo kikuu huria cha Tanzania ,Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ,Ofisi ya Rais Tamisemi ,Ofisi ya RAS Dodoma na wataalam kutoka shirika la Children in Crossfire.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 12, 2025
  • RC SENYAMULE AFANYA ZIARA KONDOA DC

    May 13, 2025
  • ELIMU YA UZUIAJI UPOTEVU WA NAFAKA KUWA SULUHISHO LA USALAMA WA CHAKULA KONDOA DC

    May 11, 2025
  • WANANCHI KIJIJI CHA ITUNDWI WAADHIMISHA KWA VITENDO SIKU YA AFYA NA LISHE

    May 07, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.