• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DED MILLAO AHIMIZA USIMAMIZI MPANGO WA UTUNZAJI MAZINGIRA KONDOA DC

Posted on: May 12th, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Ndg.Shaban Millao amefungua kikao cha wadau wa mazingira kilicholenga kupata maoni ya wadau kuhusu Mpango wa Utunzaji Mazingira.

Ndg.Millao amesema mpango huu ni sehemu mojawapo ya ulinzi wa mazingira, akielezea juhudi zilizofanywa na Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika kukabiliana na athari za uharibifu wa mazingira na kuwahimiza wadau hao kuwa chachu ya kuhakikisha USIMAMIZI wa mazingira unaimarishwa.

"Mafanikio yoyote yatakayopatikana kwa utunzaji wa mazingira, maana yake nyuma yake mpo ninyi, tukawe chachu ya kuhakikisha mazingira yetu yanaimarika kwa kuchangia vyema kwa maslahi ya vizazi vijavyo tukiwa suluhisho endelevu pamoja na kulifanya ajenda ya kudumu katika vikao vyetu. "ameongeza Ndg.Millao.

Ndg.Millao ametumia nafasi hiyo kulipongeza shirika la "Inades Formation" kwa kuendelea kushirikiana na Serikali katika utunzaji wa mazingira kama mdau kwa kuichagua Kondoa kama eneo la kufanyia kazi i?na kuvinufaisha vijiji vitano muwepo Kijiji cha Sambwa katika utunzaji wa mazingira.

Sambamba na pongezi hizo Ndg.Millao amewahimiza wadau waliojitokeza kwa kuzingatia uwakilishi wa wananchi na wakulima kuhakikisha wanachagua viongozi bora katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2025

Awali akiwakaribisha wadau katika kikao hicho Ndg.Elizabet Shoo ambaye ni Mratibu wa Mpango huo amesema Mpango huo unaokusudia kuweka msistizo katika utunzaji wa mazingira kwa ajili ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya Tabianchi, mpango ukipitia hatua mbalimbali zinazotakiwa ili uweze kutekelezwa ili kuwanufaisha wananchi ukizigusa sekta mbalimbali ikiwemo mifugo, kilimo n.k.

Kikao hicho kimewakutanisha wadau mbalimbali wa mazingira wakiwemo TFS, TARURA, MKUNGUNERO, RUWASA, INADES FORMATION, Viongoziwa Dini, Viongozi Kundi la watu wenye Ulemavu, Uwakilishi kundi la Vijana na Wakulima pamoja na Wajumbe Kamati ya Mazingira Halmashauri.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • VIONGOZI WA ELIMU NA WAKUU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI KONDOA DC WANOLEWA KUHUSU MFUMO WA UTHIBITI UBORA WA SHULE KIDIGITALI

    May 14, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA SOERA

    May 13, 2025
  • DED MILLAO AHIMIZA USIMAMIZI MPANGO WA UTUNZAJI MAZINGIRA KONDOA DC

    May 12, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KONDOA AFANYA ZIARA KIJIJI CHA KWAYONDU

    May 11, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.