• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DC NYANGASSA ATUMA SALAMU KWA WENYEVITI WA VIJIJI NA MITAA WILAYA YA KONDOA

Posted on: January 11th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe.Fatma Nyangassa amewapongeza Viongozi wa Serikali za Mitaa na Vijiji kwa kuchaguliwa na wananchi wa wilaya ya Kondoa kupitia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27,2024.

Mhe.Nyangassa amezitoa pongezi hizo alipokuwa katika Mkutano wa hadhara na wananchi wa kata ya Kikore kijiji cha Hurui kwa ajili ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi hao akianza kuwapongeza Viongozi wa Serikali ya Kijiji wa kata hiyo.

"Mhe.Mwenyekijiti wa kijiji nikupongeze kwa kuchaguliwa na kuwa miongoni mwa timu yetu na kuhakikisha hurui sasa inapiga hatua zaidi ya mlipofikia,wananchi hawa wanategemea umoja wetu kama viongozi tuweze kuwaongoza vizuri,kushirikiana nao vizuri ili tuweze kupiga hatua kwa maendeleo ya wilaya yetu."amesema Mhe.Nyangassa.

Mhe.Nyangassa amewataka viongozi   hao kuangalia,kufuatilia na kutatua kero za wananchi na sio kuwa sehemu ya ulalamishi,akiwasisitiza kuwa kwa kero zilizondani ya uwezo wao kuzitatua na zilizo nje ya uwezo wao kuzifikisha mahala husika na kuzifuatilia ili kupata ufumbuzi wa changamoto za wananchi wetu.

Hata hivyo Mhe.Nyangassa ameahidi kuitisha kikao maalum na wenyeviti wote wa vijiji na mitaa wa Halmashauri zote mbili (Wilaya na Mji Kondoa).

Katika ziara yake kijijini hapo,Mhe.Nyangassa aliambatana na timu ya wataalam kutoka Halmashauri wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Ndg.Shaban Millao,  Taasisi za umma ikiwemo TARURA na TFS.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.