• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DC NYANGASA AHIMIZA UJENZI WA TIMU YENYE TIJA BARAZA JIPYA LA MADIWANI KONDOA DC

Posted on: December 5th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe.Fatma Nyangasa amewahimiza Waheshimiwa Madiwani na  Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kujenga timu ya pamoja itakayoleta tija kwa wananchi wa kondoa.

Mhe.Nyangasa ameyasema hayo akizindua Baraza Jipya la Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa katika Mkutano wa kwanza wa Baraza la Madiwani mapema Disemba 05,2025 baada ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani Oktoba 29,2025.

"Niwapongeze kwa kupata nafasi ya kutumikia wananchi wa kondoa,twende pamoja tukihakikisha tunaleta mabadiliko kwa maslahi ya wanakondoa,tukijua tunawatumikia wananchi tukienda sambamba kwa kushirikiana na wataalam wetu wa Halmashauri amesema Mhe.Nyangasa.

"Tukawe wahamasishaji wa shughuli za maendeleo kwa kuwashirikisha wananchi wetu.penye ufafanuzi tukatoe tukiwa wepesi wa kupata maelezo ya kina ili kuondoa gepu la mawasiliano."ameongeza Mhe.Nyangasa.

Kwa upande wake Mwenyekiti Mpya wa Halmashauri Mhe.Salum Mabote,kwa niaba ya Waheshimiwa Madiwani amepokea pongezi hizo na rai ya utekelezaji wa majukumu yao, akiahidi ushirikiano kwa viongozi,watumishi na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa.

Awali katika Mkutano huo,Mhe.Nyangasa ameshuhudia hafla ya Uapisho na Tamko la Mali na Madeni kwa Jumla ya Waheshimiwa Madiwani 29 sambamba na zoezi la kukabidhi vitendea kazi kwa Waheshimiwa Madiwani.

Matangazo

  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGARI October 16, 2025
  • MATOKEO KIDATO CHA SITA July 07, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • DC NYANGASA AHIMIZA UJENZI WA TIMU YENYE TIJA BARAZA JIPYA LA MADIWANI KONDOA DC

    December 05, 2025
  • KAMATI YA UFUATILIAJI WA MIRADI KDC YAWEKA MKAZO UKAMILISHWAJI MIRADI

    December 04, 2025
  • MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA VITUO NA WASIMAMIZI WASAIDIZI JIMBO LA KONDOA YAFUNGWA

    October 27, 2025
  • UCHAGUZI MKUU 2025: MAFUNZO KWA WATENDAJI WA VITUO KDC YAFUNGULIWA

    October 26, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.