Posted on: January 15th, 2021
Katibu Mkuu Mtendaji Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde, leo tarehe 15/01/2021 ametangaza matokeo ya kidato cha nne na kidato cha pili ya mitihani iliyofanyika novemba mwaka 202...
Posted on: January 9th, 2020
Matokeo ya upimaji wa Kitaifa darasa la nne(SFNA),kidato cha pili(FTNA) 2019 na Mtihani wa Kidato cha nne(CSEE) na maarifa(QT) 2019 yametangazwa Rasmi leo tarehe 09 januari,2020.
Katibu Mkuu Mtenda...
Posted on: October 5th, 2019
Zoezi la uboreshaji wa daftari la wapiga kura linatarajiwa kuanza kufanyika kuanzia tarehe 8/10/2019 katika vijiji na vitongoji vyote katika Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa,ambapo linatarajiwa kudumu ...