Katibu Mkuu Mtendaji Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde, leo tarehe 15/01/2021 ametangaza matokeo ya kidato cha nne na kidato cha pili ya mitihani iliyofanyika novemba mwaka 2020 .Kwa taarifa kamili bofya hapa.https://matokeo.necta.go.tz/csee2020/csee.htm kwa kidato cha nne pia matokeo ya upimaji kidato cha pili bofya hapa.https://matokeo.necta.go.tz/ftna2020/ftna.htm
KONDOA DISTRICT COUNCIL ,KILIMANI STREET
Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa
Simu : 0262360313
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.