Mkurugenzi mtendaji halmashauri ya wilaya ya Kondoa anawatangazia wananchi wote wa kondoa kua kutakua na kikao cha madiwa ni tarehe 28/04/2017 katika ukumbi wa kondoa irangi kuanzia saa 04:00 asubuhi.
Wote mnakaribishwa.
KONDOA DISTRICT COUNCIL ,KILIMANI STREET
Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa
Simu : 0262360313
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.